Mavazi na mitindo ya wanawake

Mavazi na mitindo ya wanawake

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Habari zenu wenyeji wa jukwaa hili.

Mavazi ya wanawake yamekuwa na mitindo inayobadilika kwa kwa kasi kama mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

Leo naomba kujua jambo moja ambalo huwa linajitatiza. Kuna mavazi ya mitindo mbalimbali na kwa kuangalia tu utaona mengi kama yana lengo la kupeleka ujumbe mahali fulani.

Kwa mfano vazi la khanga na maandishi yake,hii huwa kuna mahali ujumbe huwa umekusudiwa kuelekea, hili sio shida sana, ila sasa kuna baadhi ya mavazi kwa mitindo yake ilivyo utona wazi kuna watu wamelengwa kupelekewa ujumbe fulani licha ya kuwa vazi hilo halina maandishi.

Mfano vimini, nguo zenye mipasuo mikubwa kiasi cha kuweza hata kuona mahala miguu inapounganika, au vazi lenye mgongo wazi kiasi cha kuweza kuona nguo ya ndani kupitia mgongoni, mavazi yanayoonesha vitovu, ama viguo hivi vinavyokua kama suruali vinavyoshika mwili ana suruali zinazobana n.k.

Hapa silaumu ila swali langu ni nani anaepelekwa ujumbe huo kwa sababu mwanamke au msichana akipita popote amevaa vivazi hivyo wote humuangalia yaani wanaume na wanawake, ila kwa mshangao wanaomwangalia zaidi ni wanawake wenzake.

Je akina dada mnaekusudia kumpelekea ujumbe ni ME au KE? Ingawa watazamaji wakubwa huwa ni wanawake wenzenu lakini anaetamani zaidi maumbile yaliyo wazi ya huyo alievaa kivazi mpasuo ni ME.

Ujumbe kwa nani?
 
Jamani nyie zoeeni tu.
tunarudi tulikotoka. Nguo kitu gani!
 
Ninaweza kukubaliana na wewe kwa Asilimia 50 kuwa mavazi yanakuwa na ujumbe Fulani MF Kuna school uniforms,office uniforms, baibui n.k mtu ukivaa unajulikana ni mtu wa aina Fulani but another 50% just for fashion kulingana na wakati.
 
Ninaweza kukubaliana na wewe kwa Asilimia 50 kuwa mavazi yanakuwa na ujumbe Fulani MF Kuna school uniforms,office uniforms, baibui n.k mtu ukivaa unajulikana ni mtu wa aina Fulani but another 50% just for fashion kulingana na wakati.

hiyo asilimia unayoipinga mimi.naona unapingana na ukweli.mimi naamini.pasingekuepo.wanaume haya yasingalikuepo vipi.mwanamke avae kimini unamuonyesha nani maumbile yako?japo nikweli kua wapo wanaovaa kwa kuiga bila kujua akifanyacho kinamaana ipi.yote ni kuiga uzungu tukijidanganya kwenda na wakati mzungu sio ---- analake lengo kwenu
hamujuitu.
 
hiyo asilimia unayoipinga mimi.naona unapingana na ukweli.mimi naamini.pasingekuepo.wanaume haya yasingalikuepo vipi.mwanamke avae kimini unamuonyesha nani maumbile yako?japo nikweli kua wapo wanaovaa kwa kuiga bila kujua akifanyacho kinamaana ipi.yote ni kuiga uzungu tukijidanganya kwenda na wakati mzungu sio ---- analake lengo kwenu
hamujuitu.
Si kweli kuwa kila mvaa kimini anamtega mwanaume nakataa mfano last week nilikuwa kwenye k/party km unavojua hivi ni ya kinadada watupu lakini watu walivaa vimini vya hatari SWALI hebu nambie Hapo walikuwa wanamtega nani sasa.!?

Sikatai wapo wanaotega wanaume lkn si wote wengine ni fashion tu.
 
Habari zenu wenyeji
wa jukwaa hili.
Mavazi ya wanawake yamekuwa na mitindo inayobadilika kwa kwa kasi kama
mabadiliko ya sayansi na teknolojia. leo naomba kujua jambo moja ambalo
huwa linajitatiza. Kuna mavazi ya mitindo mbalimbali na kwa kuangalia tu
utaona mengi kama yana lengo la kupeleka ujumbe mahali fulani.Kwa mfano
vazi la khanga na maandishi yake,hii huwa kuna mahali ujumbe huwa
umekusudiwa kuelekea. hili sio shida sana. ila sasa kuna baadhi ya
mavazi kwa mitindo yake ilivyo utona wazi kuna watu wamelengwa
kupelekewa ujumbe fulani licha ya kuwa vazi hilo halina maandishi. Mfano
vimini, nguo zenye mipasuo mikubwa kiasi cha kuweza hata kuona mahala
miguu inapounganika, au vazi lenye mgongo wazi kiasi cha kuweza kuona
nguo ya ndani kupitia mgongoni, mavazi yanayoonesha vitovu, ama viguo
hivi vinavyokua kama suruali vinavyoshika mwili ana suruali zinazobana
n.k. Hapa silaumu ila swali langu ni nani anaepelekwa ujumbe huo kwa
sababu mwanamke au msichana akipita popote amevaa vivazi hivyo wote
humuangalia yaani wanaume na wanawake, ila kwa mshangao wanaomwangalia
zaidi ni wanawake wenzake.Je akina dada mnaekusudia kumpelekea ujumbe ni
ME au KE? Ingawa watazamaji wakubwa huwa ni wanawake wenzenu lakini
anaetamani zaidi maumbile yaliyo wazi ya huyo alievaa kivazi mpasuo ni
ME. Ujumbe kwa nani?

mkuu umenikumbusha maneno niliyoyasoma kwenye kanga ya mtu " kuliko kioze bora nimpe jilan" ahaaaa
 
Ninaweza kukubaliana na wewe kwa Asilimia 50 kuwa mavazi yanakuwa na ujumbe Fulani MF Kuna school uniforms,office uniforms, baibui n.k mtu ukivaa unajulikana ni mtu wa aina Fulani but another 50% just for fashion kulingana na wakati.[/QUOTE
Safi sana sasa kwa mfano nguo zinzoonesha mapaja na seheme tam kimini, nguo zenye mpasuo, nguo zinazoshika mwili kiasi cha kuona umbo na nguo nyingine kama hizo nani huwa analengwa kufikishiwa ujumbe. ME au fellow KE. Kumbuka fashion ni sehem ya art na kazi ya art ni kufikisha ujumbe. nani mlengwa?
 
Kusingekuepo wanaume tungetembea uch* kabsaa yani mnatubana

Unadhani wanaume wanakereka mkitembea nusu uchi au uchi kabisa hapana.aisee hakuna kitu mwanaume anapenda kama kumuona mwanamke akiwa neked au half neked analeta raha sana. Shida ipo pale ukiangalia sana mate yanajaa mdomoni halafu process ya kuomba na kupewa ni adhabu tosha.
 
Hivi beach costume zinatuma ujumbe gani vileeee..........................

Ukitaka kujua zina ujumbe gani zivao ofisini au kanisani au msikitini ama hata kwenye sherehe simpo tu kama kipaimara au hata panda nazo kwenye daladala au nenda nazo harusini.ujumbe utafika vizuri kwa jamii.
 
Jamani nyie zoeeni tu.
tunarudi tulikotoka. Nguo kitu gani!

Mkuu labda hujanielewa soma vizuri. hoja yangu sio napingana na vivazi hivyo. hoja yangu ni kwa zile nilizozitaja ni nani mlengwa? anarushwa roho ME au KE? mfano mapaja anaoneshwa nani, mgongo anqoneshwa nani. Ki ukweli mie naona kama mwanaume ndio anaekua affected na vivazi hivyo kuliko mdada. haya ni mawazo yangu lakini.
 
Jamani nyie zoeeni tu.
tunarudi tulikotoka. Nguo kitu gani!

Mkuu labda hujanielewa soma vizuri. hoja yangu sio napingana na vivazi hivyo. hoja yangu ni kwa zile nilizozitaja ni nani mlengwa? anarushwa roho ME au KE? mfano mapaja anaoneshwa nani, mgongo anqoneshwa nani. Ki ukweli mie naona kama mwanaume ndio anaekua affected na vivazi hivyo kuliko mdada. haya ni mawazo yangu lakini.
 
hamna cha msg wala call ni fasheniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tu
 
Wakwangu nimemwambia avae boxer yangu,kafurahi sana.Ila inambana.Ni kutufurahisha vidume hapo kwenye 50%
 
Back
Top Bottom