lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Habari zenu wenyeji wa jukwaa hili.
Mavazi ya wanawake yamekuwa na mitindo inayobadilika kwa kwa kasi kama mabadiliko ya sayansi na teknolojia.
Leo naomba kujua jambo moja ambalo huwa linajitatiza. Kuna mavazi ya mitindo mbalimbali na kwa kuangalia tu utaona mengi kama yana lengo la kupeleka ujumbe mahali fulani.
Kwa mfano vazi la khanga na maandishi yake,hii huwa kuna mahali ujumbe huwa umekusudiwa kuelekea, hili sio shida sana, ila sasa kuna baadhi ya mavazi kwa mitindo yake ilivyo utona wazi kuna watu wamelengwa kupelekewa ujumbe fulani licha ya kuwa vazi hilo halina maandishi.
Mfano vimini, nguo zenye mipasuo mikubwa kiasi cha kuweza hata kuona mahala miguu inapounganika, au vazi lenye mgongo wazi kiasi cha kuweza kuona nguo ya ndani kupitia mgongoni, mavazi yanayoonesha vitovu, ama viguo hivi vinavyokua kama suruali vinavyoshika mwili ana suruali zinazobana n.k.
Hapa silaumu ila swali langu ni nani anaepelekwa ujumbe huo kwa sababu mwanamke au msichana akipita popote amevaa vivazi hivyo wote humuangalia yaani wanaume na wanawake, ila kwa mshangao wanaomwangalia zaidi ni wanawake wenzake.
Je akina dada mnaekusudia kumpelekea ujumbe ni ME au KE? Ingawa watazamaji wakubwa huwa ni wanawake wenzenu lakini anaetamani zaidi maumbile yaliyo wazi ya huyo alievaa kivazi mpasuo ni ME.
Ujumbe kwa nani?