kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
- Thread starter
- #21
Sawa ndugu nimekupataWanapata lishe ya uhakika,mafunzo maalumu na tiba sahihi katika kuendeleza hiyo kada,pamoja na maelekezo ya kuongea pale jukwaani;kuhusu mavazi hata magari zipo kampuni zinatengeneza kufuatana na uhitaji wao.