Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

Labda ufuatiliaji hafifu,nna dstv
Kabisa beste huwa wanonyesha hadi live. Huwa ni siku ya jumatatu kwa Raw na Jumanne kwa Smackdown. Na mechi kubwa huchezwa jumapili pia unaweza kupata kwa channel za free to Air ila imekuwa kazi kidogo
 
Itabidi tumuulize huyu jamaa wa Kariakoo
IMG-20180920-WA0020.jpeg
 
Angalia walio wengi ndugu,yaani unakuta hadi "Shaun Michaels" cjui inaandikwa hivyo,anasauti yenye mitetemo hivi pamoja na kamwili kake ka kawaida
CMPunk sauti yake ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom