Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

Wanapata lishe ya uhakika,mafunzo maalumu na tiba sahihi katika kuendeleza hiyo kada,pamoja na maelekezo ya kuongea pale jukwaani;kuhusu mavazi hata magari zipo kampuni zinatengeneza kufuatana na uhitaji wao.
Sawa ndugu nimekupata
 
Write your reply...mi napendaga kuangalia mieleka ya mademu hasa zile chupi zao wanamanuana lakini huoni kitu aisee!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee we jamaa
 
Duuu Hawa ni wa kitambo ila ndo walikuwa wanaume kweli asee kwenye huu mchezo. Booker T,DDP. NWO. Kipindi hicho lex luger ndo mwamba kwelikweli
 
Halafu sijui kama ule mchezo ni ukweli. Hivi kuna mtanzania alishawahi kwenda kuona huo mpambano live kweli???
 
Halafu sijui kama ule mchezo ni ukweli. Hivi kuna mtanzania alishawahi kwenda kuona huo mpambano live kweli???
Mhuu cjawahi sikia ushuhuda huo. Mimi huwa naamini ni maigizo kama movie za Hollywood tu. Ila wamebobea ktk kuigiza asee
 

Hayo MASAUTI ni matokeo yamatumizi ya Performance Enhancing Drugs (AKA) Doping ambazo mojawapo ya HEALTH RISKS ni hayo MASAUTI unayoyazungumzia.
Dawa hizo ziko za aina nyingi kama Anabolic Steroids, Androstenedione, Human Grwth Hormones, Erythropoietin Diuretics, Creatinine, Stimulants N.K
 
Naamini upo kwenye kundi la Wahenga mkuu
 
Me Nadhani ni mchezo wa ukweli. Siku Nikipata nafasi ya kwenda marekani, Lazima nikaingie ukumbini kushuhudia huu mchezo.
Kupigana mabuti usoni,kuvunjana shingo,kurushana toka juu ya nguzo ndefu kama ya umeme halafu na bado huyo aliye pigwa na kurushwa ndo anashinda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…