Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

Kaaa hapo nimekupata ndugu bila chenga
 
Kaaa hapo nimekupata ndugu bila chenga

Hayo makitu sio mazuri ! Matumizi ya muda mrefu yakichanganywa na madawa ya kulevya yamepelekea vifo vitokanavyo na matatizo ya moyo. Pia hupelekea watumiaji kuwa na Msongo mkali wa mawazo/Stress kama ilivyotokea kwa Wresler CHRIS BENOIT ambaye mwaka 2007 aliua Mke, Mtoto, na yeye kujimaliza !
 
Daaa sasa shida ni nini hadi wayatumie hayo!?
 
Hafu wanazingua sana,mbona kila siku nikiiangalia mieleka wanaonyesha fixture ya mapambano makali halafu unakuta wanasema 'Roman Reign will face Braun Strowman on this Sunday,halafu majumapili yanapita tu hakuna kinachofanyika!?
 
Inafanyika wewe ndo hufuatilii au hio chanzo unachoangalia ndio ya kiboya. Nunua dstv au Download app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…