Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Msalaba ni ishara tu.....mbona nyie mnaweka ka mwezi meeen kwa hiyo mnaabudu hako kakitu?
Tehee...tehee ..tihii !.......hatuja kaweka mbele yetu hako kamwezi wala kukavaa kifuani !
Pia tukifunga Goli, tunainama chini ya ardhi kama afanyavyo Demba Ba, na si kujipiga misalaba kufuani kama Oscar !:A S wink:
