Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Msalaba ni ishara tu.....mbona nyie mnaweka ka mwezi meeen kwa hiyo mnaabudu hako kakitu?
'Ewe Nabii ! (Muhammad) Waambie wake zako, na mabinti zako, na wake za Waumini (Waislaam), wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe (kuzomewa, kuchekwa na kutukanwa). na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Qur'an: 33:59.
Unataka wote wavae hijabu?
DA! KUMBE MWENYE HADITHI HII MUHAMMAD LAANA ILISHAMSHUKIA!.ww laana imeshakushukia wala sikushangai na comment zako.......
Wewe wapi uliiona picha ya mungu ?!
Huyu ndiye Allah SWT, Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana Mungu ila Yeye, Muumba wa Kila kitu. Basi Muabuduni Yeye tu. Naye ni Mtegemewa wa kila kitu. Macho hayamfikii ila Yeye anayafikia macho, naye ni Mjuzi Mwenye khabari.
Q:6:102-103.
KANISANI HAKUNA NGOMBE JIKE LA RANGI YA MANJANO!
NA HIZI AYA HAZIKULETWA NA SHEIKTWANI KWA AJILI YA KANISA!
Hizi aya za qur'an zilishuka kwa ajili ya ng'ombe jike la rangi ya manjano, na kwa ajili ya wadudu, na vichuguu ndio maana binadamu wakizifuata wanageuka misikule, Mazuzu, na mazezeta.
Hivi Kaffir ni mtu wa aina gani wajameni naomba msaada
Bado sijaona kukiri kwake hapo!! Wapi allah kakiri yeye ni MUNGU?
........hii si mada ya humu ! .........humu inazungumziwa kuvaa nguo za utupu Kanisani.
Uislaam unajibu hiyo hoja kupitia Qur'an: sura 33:59
Allah siyo Mungu na hajawai kuwa Mungu, vile vile hana ubavu wa kumuhukumu mwanadamu. Siku hiyo nikutane naye eti anahukumu watu kwenda jehanamu eti aniambie niende jehanamu patachimbika. Allah ni kiumbe kidogo sana. Mwisho wa yote niseme hivi, siyaungi mkono mavazi yasiyousitili mwili, hata biblia inawtaka wanawake wavae mavazi yenye kusitiri miili yao. Angalizo, mavazi tu siyo kipimo cha utakatifu au ucha Mungu, maana kuna Mkoa ambao asilimia kubwa ni watukufu (Waislamu) na wanawake wanavaa nguo za kujifunika mwili mzima lakini baadhi mabinti wao pamoja na kujitahidi kutunza bikra wanaingiliwa kinyume na maumbile, mbele tundu la sindano, nyuma bwawa la Mtela.
..............naona umekarii ujinga ukidhani utamshughulisha mtu !:A S 112: ..angalia idadi ya watu wanaosoma huu uzi ! ......na hilo ndio lengo. Kutembeza DaaH'wa !:A S wink:
HASANTE KWA KUTUSAIDIA KUJUA KUWA HADITHI ZA MTUME WA WAISLAM MUHAMMAD NA MAMENO YA QURAN NI UJINGA.
NA MTUME WENU ANASIBITISHA MWENYEWE
Kasema Mtume (s.a.w) "Hakika Mimi natania, wala sisemi yaliyokweli" (Mkweli Mwaminifu Juzuu ya 3-4, uk. 56 Hadithi Na. 853)
Maelezo yako ndio maana halisi ya Kafiri ! .......yaani wewe ni 100% !
Unachofanya ni kujitahidi kuonyesha kuwa waovu ni wengi ikiwemo na wewe !
........hii si mada ya humu ! .........humu inazungumziwa kuvaa nguo za utupu Kanisani.
Uislaam unajibu hiyo hoja kupitia Qur'an: sura 33:59
muulize huyu.... Pastors of the Redeemed Christian Church of God in Nigeria have started enforcing the dress code for all worshipers handed down by the General Overseer of the Church, Pastor Enoch Adeboye.Unataka wote wavae hijabu?
HIZI HADITHI MTUME WA WAISLAM MUHAMMAD HAKUZITUNGA KWA AJILI YA WAIMBA KWAYA! ALIZITUNGA KWA AJILI YA MAZEZETA NA MISIKULE KAMA WEWE, NA KWA AJILI YA MAKAFIRI WAISLAM NA MAZUZU,Teh Teh hadithi za kutunga peleka kwa wale waimba kwaya wanaotafunana wao kwa wao.