Mavazi ya kanisani balaaa...

Mavazi ya kanisani balaaa...

Status
Not open for further replies.
Kama nzenji vile,swala tano na full baibui macho tu yanaonekana.lakin sasa uko nyuma jamaa wanavyo gonga kiasi kwamba ni nguzo ya uislam

Umeona eeeeeee.
Wanaongoza kwa kufumuana tigo.
Eti umeshawahi kusikia mahali kuna mganga mkristo?
 
Nimeshakupa direction.
Sitaki maswali

Kama kuna nchi ya watu waongo basi wewe ungekua obama wao, unaongea as if hao unaoongea nao wametoka kuzaliwa mda huu. Umeona wapi waislam wanaswali uchi? Acha hizo dada
 
Kama kuna nchi ya watu waongo basi wewe ungekua obama wao, unaongea as if hao unaoongea nao wametoka kuzaliwa mda huu. Umeona wapi waislam wanaswali uchi? Acha hizo dada

Mbona hujiamini?
Funga safari ijumaa moja uende
 
Mkiambiwa dini hamna mnakuja juu,,,Nguo ya Club mtu anaingia nayo sehem ya ibada ina maana basi Bungeni ni sehem takatifu kuliko Kanisani si ndio? Utaelewaje neno wakati mtu ameacha mapaja wazi ikiwa sisi Binadamu(Rijali) tuna matamanio.
 
ahhh usiombe uingie makanisa fulani fulani hasa Dsm ukutane na wale wanashindana mavazi dada zetu hawa yaani utaomba misa iishe haraka :wink2:
 
waitwao ni wengi lakini watakaoingia ni wachache,kumbuka kanisa/msikiti ni concept pana sana...
 
Nadhani suala lakuvaa lisiwe kanisani hata kwenye daladala hizi mambo ni majanga.Tuanzie kukutaa kila mahali maana hata barabarani mavazi yanatuhamisha mawazo.Why only in charches?
 
Nadhani suala lakuvaa lisiwe kanisani hata kwenye daladala hizi mambo ni majanga.Tuanzie kukutaa kila mahali maana hata barabarani mavazi yanatuhamisha mawazo.Why only in charches?

Sikubaliani na wewe nilazima tuanza na nyumc za kuabudia ndipo tuendeleze mabarabarani na kwenye madaladala
 
Umeona eeeeeee.
Wanaongoza kwa kufumuana tigo.
Eti umeshawahi kusikia mahali kuna mganga mkristo?

Lete ushahidi au kama wewe washawah kukufumua tigo yako twambie
 
Mwenyezi mungu alimuuliza adamu kuwa 'nani amekwambia uko uchi?' Na mimi nikuulize mleta uzi 'je ninani amekwambia kuwa wako uchi?' Ni lazima una pepo la ngo.. linalokuongoza! P'se likemee! Je ukiwaona mabushmen si utazimia? Hivyo vijinsi vyako unavyovaa zaman havikuwepo! Kumbuka mungu ni roho nao wamwabuduo wanamwabudu ktk roho na kweli!
Mungu si kuchezea kama unavofikir ndugu yangu,kwan mtu akivaa nguo ya kumuacha uchi siinaonekana? Mungu anakwazika sana na watu wa aina hii haswa wanawake na wale wanaume mnaovaa visurual vinavobana na kata K,halaf mnaenda nazo kanisan, kwel jaman huu ni uungwana mbele za Mungu? Hebu achen kumchezea jaman
 
Nimeshasoma na nimegundua
Hizi aya za qur'an zilishuka kwa ajili ya ng'ombe jike la rangi ya manjano, na kwa ajili ya wadudu, na vichuguu ndio maana binadamu wakizifuata wanageuka misikule, Mazuzu, na mazezeta

Ndugu yangu hebu acha kukashifu dini ya Allah itakuwa bora sana kama ukikaa kimya lakin si kukashifu dini ya mwenzio hata mwenyez Mungu anasisitiza sana juu ya kuheshimiana katika iman. Usipende kucomment kwa kuwa unajua kusoma na kuandika tu, kumbuka kuna siku utarud kwa Mungu na atakuliza juu ya hili la kukashifu din au iman ya mwenzio
 
Ushahidi kamili. Vipi, inauma.

Halafu wewe umesahau kuwa hata JF upo mtandaoni?

Tatizo nnaloliona hapo ni shule tu, badala ya kwenda kupata ilmu wewe shule yako imekujaza ujinga. Hata ukweli unadhani unaweza kuukimbia.

Nashukuru maishani mwangu sijawahi pata Ilim ila Elimu nimepata!!
Any 0ne can google na sio kila kinachoandikwa kwenye wikipedia or anywhere else kipo sahihi! Si ulishakia kuna makanisa ya kishetani?! Hayo yana uhusiano upi na ukristo?
Afu maneno ya asiejua huwa hayaumi!
 
Babu kanisa la kishetani na hayo mengine yana tofauti zipi? ikiwa ushetani upo mpaka Vatican au hujausoma ushahidi huko juu nikuongezee? hilo ni kanisa la Kikristo na nguo hapo ni "option".

Sasa wewe niambie kuabudu picha ya mzungu kama si ushetani ni nini?
 
Babu kanisa la kishetani na hayo mengine yana tofauti zipi? kiwa ushtani upo mpka Vatican au hujausoma ushahidi huko juu nikuongezee? hilo ni kanisa la Kikristo na nguo hapo ni "option".

Sasa wewe niambie kuabudu picha ya mzungu kama si ushetani ni nini?

Aisee kuna mzungu anabudiwa hivi? i know mitume wote wakubwa waarabu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom