Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #241
sasa kama askari yuko kazini akavaa uchi hapo anakosaje kueleweka?Wanawake wengi wamepoteza heshima kwenye jamii na watu wanao wazungu na sababu ya kuvaa mavazi ya kihuni / kimalaya.
Wanawake wengi wanapoteza kukubalika kwa wanaume zao sababu ya mavazi yasiyo na staha.
Wanawake wengi wamepoteza kukubalika na watu hata kwa watoto wao na wale wanaowaongoza sababu ya mavazi yasiyo na staha.
Unakuwa kiongozi au mzazi/mlezi/Mwalimu /askari n.k. Ukienda uchi utatumia nguvu nyingi ktk kueleweka Na wanaokuzuunguka.
mhubiri akivaa mavazi ya kikahaba kuwapata makahaba waje kwa Yesu anakosaje kueleweka?
embu waza nje ya boxi basi