FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kukukumbusha biblia ndiyo chuki?Ukipunguza chuki utaleta hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukukumbusha biblia ndiyo chuki?Ukipunguza chuki utaleta hoja.
Kwa hiyo Yesu au nabii issa siyo mwislamu tena???[emoji849][emoji849][emoji849]Msitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?
Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?
Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!
Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.
Mungu gani kaandika biblia?Biblia umeandika wewe au Mungu?
Embu rudi kwenye mada acha mihemko!
Kwaakili yako umesoma huo mstari mmoja nakuja kutuchimba nao biti maana unasoma Biblia Takatifu sio kwa minajili ya kujifunza bali kwaajili ya kuutukana Ukristo. Sasa Ustaadha wangu hebu soma kisa choooote alichokizungumzia Yesu Kristu halafu utaelewa lengo la huo mstari. Hata wewe unayejifanya mwema full nicab na hijabu unaweza kwenda jehanamu na ukapishana na hao unaowaona wadhambi wakielekea mbinguni. Mwenye masikio na asikieMsitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?
Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?
Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!
Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.
Alikuwa dini gani kama siyo Muislam?Kwa hiyo Yesu au nabii issa siyo mwislamu tena???[emoji849][emoji849][emoji849]
Wewe kisome utupe somo la biblia.Kwaakili yako umesoma huo mstari mmoja nakuja kutuchimba nao biti maana unasoma Biblia Takatifu sio kwa minajili ya kujifunza bali kwaajili ya kuutukana Ukristo. Sasa Ustaadha wangu hebu soma kisa choooote alichokizungumzia Yesu Kristu halafu utaelewa lengo la huo mstari. Hata wewe unayejifanya mwema full nicab na hijabu unaweza kwenda jehanamu na ukapishana na hao unaowaona wadhambi wakielekea mbinguni. Mwenye masikio na asikie
Unasoma kuhusu ukahaba?Me nasoma ndio maana nakushangaa unatapatapa kama MFA maji, afu mpishi kweli kweli, we NI mwanamke au mwanaume??
Kama ni mwanaume basi utakuwa NI msukuma
Hiyo mistari niliandika mimi?Acha kuchafua wakristo na wewe ninani kazi kuona dini za wengine ni upotolo mtu mzima ila unajitoa ufahamu usifanye heshima yako ishuke kisa kujiona kahaba tukizungumzia na ushoga asilimia 95% ni dini yenu utakuta mwajuma,asha,ushoga juma ,hamisi,na wengine wengi ndio wafumuliwa marinda eti mnasema ni suna ila umewahi kutuona tukiwahukumu??
Hakunaga tunasema general ila nyie mnaoondea watu sana sababu hakuna hujui dini yetu so JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off grany
Biblia inapinga ukahabaKukukumbusha biblia ndiyo chuki?
Mbona nimesoma ndani ya biblia kuwa hata kizazi cha Yesu kwenye biblia kinatokana na kahaba?Biblia inapinga ukahaba
Alikua mwislamu ndio , kama alisema makahaba wataingia huko mbinguni si alisema kama mwislamu? Kuna tatzo gani apo???Alikuwa dini gani kama siyo Muislam?
Wapi alisema "mbinguni"? Mimi sijaliona hilo.Alikua mwislamu ndio , kama alisema makahaba wataingia huko mbinguni si alisema kama mwislamu? Kuna tatzo gani apo???
Itakua shule tulisomea ujinga[emoji119]Wapi alisema "mbinguni"? Mimi sijaliona hilo.
Wapi alisema "mbinguni"? Mimi sijaliona hilo.Alikua mwislamu ndio , kama alisema makahaba wataingia huko mbinguni si alisema kama mwislamu? Kuna tatzo gani apo???
Wewe nani alianza kukuvalisha na kukufundisha kuficha tupu zako?Wanawake wengi hawana elimu ya mavazi, uchanganya mavazi ya kuvaa beach au kwenye starehe na kuyaleta sehemu za heahima
By the way Hujui chochite kuhusu Biblia Takatifu tofauti na ubishi tu. So siwezi kumkufuru Mungu wangu kwakubishana na mtu ambaye atanipotezea muda na kuniingiza dhambini. Pambana tu bibiWewe kisome utupe somo la biblia.
Ukishindwa sisi tutakufundisha kidogo kidogo kwa tunayoyajuwa.
.
Biblia siyo gazeti.Wala so kitabu Cha hadithi/riwayaMsitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?
Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?
Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!
Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.Biblia siyo gazeti.Wala so kitabu Cha hadithi/riwaya
Huo mfano maana yake usihukumu ukidhani wewe Ni msafi zaidi. Kwani hao unaowaona wachafu wanaweza kutubu na kubadilika wakawa wema na mbingu wakaiona.
Pili maana yake tusiwe wepesi wa kuhukumu wenzetu. Wakati pia sisi Ni wakosefu. Tumia mfano wa kibanzi na boriti.
Unaweza kudhani Ni msafi lkn mbele za mwenyezi Mungu ikawa kinyume.chukua mfano wa mafarisayo na watoza ushuru!
Maana ya mfano huo Ni kwamba hukumu Ni ya Mungu, wewe mwanaadamu Ni mchafu na mwenye makosa siku zote. Badala yake tuwaongoze tuwarekebishe wabadilike.Tusiwanyooshee kidole!
Mfano: Kama ww Ni msafi Basi na uwe wa kwanza kurusha jiwe.
Kama huna roho mtakatifu kwa akili zako tu huwezi kuelewa na kuitafsiri biblia, Ndiyo maana hata nikisikia mihadhara yawenzetu Waislamu wakiichambua Biblia naishia kucheka sababu najua hawajui chochote!
Na Ndiyo maana sipendagi kubishana nao sababu tutaishia kukwazana na pengine mwisho usio mwema.
Ni ngumu sana kwa akili za kawaida kuielewa mitano ya biblia na mifano ya Yesu Kristo.
Nb:Yesu Ni jina kuu lipitalo majina yote,kwalo mapepo,majini,wachawi na mkuu wao shetani wanatii! Hakuna jina kama hilo Ila jina la Yesu Kristo.
Amen! Case closed!