Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Fanya wewe kazi hiyo.

Mna versions kila namna , biashara tu, hakuna dini wala kitabu cha Mungu hapo.
Me nasoma ndio maana nakushangaa unatapatapa kama MFA maji, afu mpishi kweli kweli, we NI mwanamke au mwanaume??
Kama ni mwanaume basi utakuwa NI msukuma
 
Acha kuchafua wakristo na wewe ninani kazi kuona dini za wengine ni upotolo mtu mzima ila unajitoa ufahamu usifanye heshima yako ishuke kisa kujiona kahaba tukizungumzia na ushoga asilimia 95% ni dini yenu utakuta mwajuma,asha,ushoga juma ,hamisi,na wengine wengi ndio wafumuliwa marinda eti mnasema ni suna ila umewahi kutuona tukiwahukumu??
Hakunaga tunasema general ila nyie mnaoondea watu sana sababu hakuna hujui dini yetu so JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off grany
Yani huyu dada anatoa huruma
Sijui NI mwanaume bwana, hamna mwanamke mbishi namba hii bwana
 
Kama uko serious unataka kuolewa basi kwangu umepata mume..mimi naangalia moyo tu hayo mambo ya mavazi sio ishu tena napenda kweli kuona namna gani muumbaji alituliza kichwa hizo suruari na vimini ndio kabisaa nafagilia ebu usijibanie say no more baby mama njoo dm tuyajenge ila yaliyomo yamo???
 
Kama uko serious unataka kuolewa basi kwangu umepata mume..mimi naangalia moyo tu hayo mambo ya mavazi sio ishu tena napenda kweli kuona namna gani muumbaji alituliza kichwa hizo suruari na vimini ndio kabisaa nafagilia ebu usijibanie say no more baby mama njoo dm tuyajenge ila yaliyomo yamo???
Naolewa mara ngap boss, nalea wajukuu sasa
 
Njoo huk
Nikajua ni wewe😂basi huyo shuger nisogezee mwisho maua yatanyauka mwambie mkombzi amepatikana
Njoo huku bwana kumenoga
 
Msitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?

Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.



Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?

Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!

Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.
28“Niambieni mnafikiri nini kuhusu hili: Alikuwepo mtu mwenye wana wawili. Alimwendea mwanaye wa kwanza na kumwambia, ‘Mwanangu, nenda ukafanye kazi kwenye shamba la mizabibu leo.’

29 Mwanaye akasema, ‘Siendi.’ Lakini baadaye akabadili uamuzi wake na akaenda.

30 Kisha baba akamwendea mwanaye mwingine na kumwambia, ‘Mwanangu, nenda ukafanye kazi kwenye shamba la mizabibu leo.’ Akajibu, ‘Sawa baba, nitakwenda kufanya kazi.’ Lakini hakwenda.

31 Ni yupi kati ya wana hawa wawili alimtii baba yake?”

Viongozi wa Kiyahudi wakajibu, “Ni mwana wa kwanza.”

Yesu akawaambia, “Ukweli ni huu, ninyi ni wabaya kuliko watoza ushuru na makahaba. Ukweli ni kuwa hao wataingia katika ufalme wa Mungu kabla yenu. 32 Yohana alikuja akiwaonesha njia sahihi ya kuishi, na hamkumwamini. Lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini Yohana. Mliona yaliyotokea, lakini hamkubadilika na mlikataa kumwamini.

Faiza bado unasema uongo. Yesu alichosema ni kuwa makahaba waliotubu wataingia kwenye ufalme wa mbinguni kabla ya viongozi wa kiyahudi ambao wanafanya maovu lakini hawatubu.

Amandla...
 
Mavazi ndicho kitu cha kwanza kabisa kinachomtambulisha mtu kuwa ni wa namna gani!

Mavazi humtabulisha kwa haraka kuwa na tabia gani.

Hivyo tujifunze na kuenenda vyema.
 
Back
Top Bottom