Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Wacha kuweka maneno yako kwenye biblia.


Kwani kahaba ni rehabu tu aliyetajwa? Hata kizazi cha yesu kina kahaba, usisahau hilo, Unamjuwa kuwa mtu ambae mnasema hana baba mmempachika kutokea ukoo wa kahaba?

Umezunguka na maneno lakini mwisho wa siku aya hukuipinga wala hukuitolea ufafanuzi.
Mi nao Hedhi ndy inakusumbua ukimaliza Siku zako Chafu hizo nitag nije tubishane sasa namashaka na ufanisi wa Akili yako
 
Ila Faiza sijui kama una furaha ya maisha kwa kweli!
Hio chuki ulio nayo dhidi ya ukristo sio ndogo, huenda haupati usingizi wala tabasamu ukiufikiria ukristo.

Faiza ukristo upo na utazidi kuweko, hauta kupunguzi wala kukuongezea kitu, utakosa amani na furaha na kutukanwa na kila mmoja labda ndicho atakacho pata. Natanguliza samahani.
Sasa unaukana mstari wa biblia? Shambulia maandiko axhana na mimi.

Mimi naona aliyeandika au aliyetafsiri Biblia anamsingizia maneno Yesu.
 
Biblia huna uwezo wa kuifasiri. Biblia inakuhitaji ushukiwe na Roho Mtakatifu ndipo utaweza kuifasiri na kuyaelewa mafumbo yaliyomo humo.
Porojo hizo. WPI BIBLI imefundisha kuwa hii "biblia" huwezi kuielewa mpaka ushukiwe na roho mtakatifu? Kwanza hata neno 'biblia" huwezi kulikuta ndani ya biblia, ni neno la kigiriki hilo linamaanishia vitabu, au siyo?

Biblia yenyewe tunayoiongelea siyo orijino ni tafsiri ya tafsiri ya tafsiri...

Sema wewe mwenye roho mtakatifu, "makahaba" maana yake nini?
 
UMALAYA ndiyo maana mnaishia kuzalishwa na kutelekezwa...
Mwanaume mwenye akili anaoa na kuishi na mwanamke anayejitambua na menye heshima...
Nyie mbumbumbu mtabak kuwa singo maza
 
UMALAYA ndiyo maana mnaishia kuzalishwa na kutelekezwa...
Mwanaume mwenye akili anaoa na kuishi na mwanamke anayejitambua na menye heshima...
Nyie mbumbumbu mtabak kuwa singo maza
Bwana Yesu asifiwe
 
Msitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?

Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.



Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?

Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!

Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.

Wewe Bibi acha kupotosha ,unaqoute kimstari kimoja bila kujua context nzima ya hiyo hoja ya makahaba na watoza ushuru ,yesu alikuwa anazungumza kwa mifano ,hao makahaba na watoza ushuru waliotubu na kuamini wataiona pepo! Ina maana kwenye dini yenu islam watenda dhambi wakija kutubu Mungu hawasamehi?
 
Inategemea unainywea wapi....house furnished with full AC...perfect...sio kwa mtogole huko 😂
Dar hatunywi chai Ila kakako analalamika demu wake kikojozi nenda kamsikize
 
Wewe Bibi acha kupotosha ,unaqoute kimstari kimoja bila kujua context nzima ya hiyo hoja ya makahaba na watoza ushuru ,yesu alikuwa anazungumza kwa mifano ,hao makahaba na watoza ushuru waliotubu na kuamini wataiona pepo! Ina maana kwenye dini yenu islam watenda dhambi wakija kutubu Mungu hawasamehi?
Shemeji njoo huku bwana UONE vikojozi
 
Back
Top Bottom