Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

sasa kama askari yuko kazini akavaa uchi hapo anakosaje kueleweka?
mhubiri akivaa mavazi ya kikahaba kuwapata makahaba waje kwa Yesu anakosaje kueleweka?
embu waza nje ya boxi basi
 
Mbona nimesoma ndani ya biblia kuwa hata kizazi cha Yesu kwenye biblia kinatokana na kahaba?

Hujasoma hilo?
kahaba alimsaidia mtumishi wa Mungu asife ndio Mungu akamsaidia huyo kahaba akaacha ukahaba na uzao wake akamzaa Yesu Kristo
 
huyu hajui hata case closed maanake nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…