Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

Kuna article imepostiwa leo inasema "Maskini wanaongoza kwa roho mbaya" nadhani ina ukweli - kwa mawazo fikra na mitazamo mgando. watu wanateseka kucontrol hadi oxygen anayovuta mtu mwingine - yani u control lifestyle ya wengine kabisa -what a boring world it will be . Sheria za nchi zimevunjwa NO, hatukana NO, kakuibia NO ila bado kuna wataoteseka na growth za wengine.
 
Mkuu unasema watu wanateseka na growth za wengine wakati unaona kabisa kuwa jamaa ni conman? Growth at whose expense? Growth at the expense of the poor and the underprivileged is immoral and totally unacceptable.
 
Yeah! I always stand with what my faith rely on, rather than from your Way to convince someone with the manner copied to some named themselves as God's word preachers, lacking code of ethics on what they pretend to be entrusted by God.

Let your light shine on all people.
 
Mkuu hoja yako sasa ni ipi mbona huja concoude? Hujaeleweka bado.
 
Mkuu mapstor wa siku hizi ni wachumiatumbo. Mapastor walikuwa zamani.
 
Mmojawapo ni Christina Diamond. Tangu ahamie kwa Mond hashikiki tena.
 
Mkuu mbona hamna Picha?
 
Mbona hakuna picha.?
 
Kuna kipindi nilitaka kua muumini wake ila ibada zinaanza saa 1 usiku
Nilishindwa..!
Ibada za mgegedano hizo; ulinusurika kugegedwa! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwa wale mnaoomba picha hebu tazama picha hii hapa halafu mniambie ni mchungaji gani anaweza kuvaa kihuni namna hii.
Watakwambia ni mavazi ya michezo, nami nitawauliza Uchungaji ni mchezo?
 
Sasa ndiyo usiweke hata picha? Malalamiko gani haya?
 
Kumbe huyu jamaa inawezekana sio mchungaji bali ni motivational speaker anayetumia motivations zake kupitia biblia.
Nilishangaa kusikia Tony eti kawa mchungaji na ana kanisa! Ila dunia hii hakuna majitu majinga kama sisi watanzania! Yaani yanakubali kuibiwa mchana kweupe kabisa, hawa si wajasiriamali hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…