Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!

Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!

HAAAAAAA NYIE VIPI? Soko huria, biashara ni matangazo eti. Hebu wani PM waone nitakavyohangaika nao.
 
Hata wanaume hawawezi kuvaa vibukta na kukatiza mitaa lakini wenzetu hawa mmmh

jjjjjiiii.jpg

jjjjjiiii.jpg

jjj.jpg

View attachment 123586
 
Hao wako sokoni,dem classic hata akivaa hijabu utamjua.
 
mambo hayo ushindwe kula tu wakati kipo mezani tayari!!!!!!! hapo anasema karibu tule !!!!!11
 
haya mapaja yamekaa kizembe sana,hata mazoezi wanaonesha hawafanyi
 
yaani kiukweli hili suala la mavazi mi huwa nasikitika sana hasa kwa hawa wenzetu wanaojiachia namna hii...sio kwamba tusiovaa hivyo ndio malaika au ndio wasafi sana, NO! dhambi tunazo, ila tu at least heshima inakuwepo iwapo mtu utavaa kujistiri....... [/U mwekundu, miss chagga, habari ya hapa, mnaonaje?
 
Last edited by a moderator:

Hili pozi lao ukichanganya na nguo walizovaa inakuwa mtafaaruku kidogo jamani. Wadada hawa wakipozi tayari kupata picha ndani ya kiwanja fulani cha burudani. jamani wadada tujiheshimu basi kwa kuwa sisi ni wa THAMANI SANA pls! kha!

Siku hizi kila biashara ni matangazo,bila matangazo yenye ubunifu haitoki,inadoda
 
Haaaaaaaaaa! Watakua wanalalama HAWAOLEWI NA WANAUME WENYE HELA sio hawaolewi tu! Unaona kuna shepu ya kushika mkaa hapo na kushinda kwenye sink?

Ukimuoa shurti uwe unampeleka huko viwanja daily! Sio akae na kukufulia jinsi! Eboooo!
Lol Lara 1,basi na wao demand zao watakua hawazitambua,they mix up things ndoa na altitude zao!!
 
Wanapenda kuiga sanaa na si kila kitu cha kuigwa!!Wenzao hata wakivaa wanapendeza miili ipo poa na hayo ni maadili yao hata mtoto akivaa bikini mbele ya mzazi ni sawa kwao.....Wakina hao mwenzangu na mie paja limejaa ukurutu :eyeroll1:aibuuuuu
 
Back
Top Bottom