Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!

ni kweli mimi49 halafu mi naamini kuwa HAWAJITAMBUI thamani yao! vinakera sana:frusty:
Wanapenda kuiga sanaa na si kila kitu cha kuigwa!!Wenzao hata wakivaa wanapendeza miili ipo poa na hayo ni maadili yao hata mtoto akivaa bikini mbele ya mzazi ni sawa kwao.....Wakina hao mwenzangu na mie paja limejaa ukurutu :eyeroll1:aibuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Hao wako sokoni,dem classic hata akivaa hijabu utamjua.
 
waacheni jamani, mjini joto siku hizi halafu nguo ndefu zinawasha
 
wako kazini
na hiyo ni mojawapo ya sifa ya kukuwezesha kupata kazi.

Mtu anaejitambua na kujua thamani yake hawezi kuvaa hivi.. na mtu mwenye mahusiano ya kueleweka na sio ya kurukia rukia kama kuku hawezi kuvaa hivi...

hizi za kuvaa chumbani na mpenzi wewe unatoka nazo ..pumbaf... kabisa. Sasa ukiwa na mwenye mali utavaaje ..non sense.
 
umeona ee! hawa hawajitambui kbs thamani yao...sasa hata km kuna ambao wanavaa hivyo humu jf, jamani muache kha!
wako kazini
na hiyo ni mojawapo ya sifa ya kukuwezesha kupata kazi.

Mtu anaejitambua na kujua thamani yake hawezi kuvaa hivi.. na mtu mwenye mahusiano ya kueleweka na sio ya kurukia rukia kama kuku hawezi kuvaa hivi...

hizi za kuvaa chumbani na mpenzi wewe unatoka nazo ..pumbaf... kabisa. Sasa ukiwa na mwenye mali utavaaje ..non sense.
 
Wanapenda kuiga sanaa na si kila kitu cha kuigwa!!Wenzao hata wakivaa wanapendeza miili ipo poa na hayo ni maadili yao hata mtoto akivaa bikini mbele ya mzazi ni sawa kwao.....Wakina hao mwenzangu na mie paja limejaa ukurutu :eyeroll1:aibuuuuu
Mbona sijauona huo ukurutu hapo? Hebu nitonye ni yupi kati ya hao wawili ana ukurutu?
 
Nazungumzia in general ndugu yangu!Naona we ni mmojawao kati ya hao wanaopenda mavazi hayo!!!
 
Kabisaaa. Kama kitenge cha kitchen party, kinatutosha watu 4. Manake mgongo wazi, manyonyo nje afu kati kati ya paja urefu unatosha. Nyakati hizi sio za kuchezea hela
halafu tunapunguza gharama maana metre moja ya kitambaa nashona kabisa nguo ya kuvaa. au sio mkwe King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Kabisaaa. Kama kitenge cha kitchen party, kinatutosha watu 4. Manake mgongo wazi, manyonyo nje afu kati kati ya paja urefu unatosha. Nyakati hizi sio za kuchezea hela

umeona eeeh,bado tunaangalia namna ya kupunguza bajeti ya viatu tuwe tunavaa japo size mbili au tatu.
 
Back
Top Bottom