Wanapenda kuiga sanaa na si kila kitu cha kuigwa!!Wenzao hata wakivaa wanapendeza miili ipo poa na hayo ni maadili yao hata mtoto akivaa bikini mbele ya mzazi ni sawa kwao.....Wakina hao mwenzangu na mie paja limejaa ukurutu :eyeroll1:aibuuuuu
Vipi kuna mtu anaju performance yao? wawapo kule nanihii kuleeee
wako kazini
na hiyo ni mojawapo ya sifa ya kukuwezesha kupata kazi.
Mtu anaejitambua na kujua thamani yake hawezi kuvaa hivi.. na mtu mwenye mahusiano ya kueleweka na sio ya kurukia rukia kama kuku hawezi kuvaa hivi...
hizi za kuvaa chumbani na mpenzi wewe unatoka nazo ..pumbaf... kabisa. Sasa ukiwa na mwenye mali utavaaje ..non sense.
waacheni jamani, mjini joto siku hizi halafu nguo ndefu zinawasha
Mbona sijauona huo ukurutu hapo? Hebu nitonye ni yupi kati ya hao wawili ana ukurutu?Wanapenda kuiga sanaa na si kila kitu cha kuigwa!!Wenzao hata wakivaa wanapendeza miili ipo poa na hayo ni maadili yao hata mtoto akivaa bikini mbele ya mzazi ni sawa kwao.....Wakina hao mwenzangu na mie paja limejaa ukurutu :eyeroll1:aibuuuuu
Nazungumzia in general ndugu yangu!Naona we ni mmojawao kati ya hao wanaopenda mavazi hayo!!!Mbona sijauona huo ukurutu hapo? Hebu nitonye ni yupi kati ya hao wawili ana ukurutu?
halafu tunapunguza gharama maana metre moja ya kitambaa nashona kabisa nguo ya kuvaa. au sio mkwe King'asti.
Kabisaaa. Kama kitenge cha kitchen party, kinatutosha watu 4. Manake mgongo wazi, manyonyo nje afu kati kati ya paja urefu unatosha. Nyakati hizi sio za kuchezea hela
He he heee. Joto na kuwashwa kwa wanawake tu. Wanaume Aaah, wao kutwa wanaona baridi
umeona eeh! hali si hali!
Halafu makalio yenyewe meusiiii, wageuze kwa nyuma uone
teh teh teh !!shwari...................?