Biashara matangazo mkuu! Watu wa Marketing wanalijua hili.ni kweli mkuu wengi utakuta hata chu.pi hawavai..ina maana hapo akitokea kidume anataka cha fasta, ndio basi tena cha fasta! hatari sana mkuu!
yaani kiukweli hili suala la mavazi mi huwa nasikitika sana hasa kwa hawa wenzetu wanaojiachia namna hii...sio kwamba tusiovaa hivyo ndio malaika au ndio wasafi sana, NO! dhambi tunazo, ila tu at least heshima inakuwepo iwapo mtu utavaa kujistiri....... [/U mwekundu, miss chagga, habari ya hapa, mnaonaje?
Biashara ya kondoo ipo kwenye mkia...yaa unadhani wasipo acha mapaja na makalio wazi nani atajua kama wamenona?
Kama ni sehemu ya burudani haina tatizo na wenyewe si wanaburudisha hadhira..!
Mbona wamependeza hivi.....inawezekana hapo wako club so its okay ama?
Wanataka wavaa baibui club...
Hiyo ni stage muhimu kwenye maisha...waache watanue muda ukifika wataacha kuliko kuruka stage...
kinachofurahisha zaidi hao wenye hela wanawachezea hawa vichecheeeeee inapofika wakati wa kuoa wanatafuta wadada wanaojiheshimu ndo wanawaweka ndani..... kicheche anajikuta bado yupo dukani, lol!Haaaaaaaaaa! Watakua wanalalama HAWAOLEWI NA WANAUME WENYE HELA sio hawaolewi tu! Unaona kuna shepu ya kushika mkaa hapo na kushinda kwenye sink?
Ukimuoa shurti uwe unampeleka huko viwanja daily! Sio akae na kukufulia jinsi! Eboooo!
hivi club ukienda na gauni angalau la urefu kamayaani nyumba kubwa honestly naona kama wamekaa kwenye kochi la club..usiku ambapo hayo ni mavazi ya akwaida kwa hadhira hiyo.....huwezi kwenda na baibui club, aidha usiende kabisa .....au sitegemeinimwona padre/askofu na mavazi yake club au bar.....likewise sitegemei mavazi hayo sehem kama ofisini hivi
hivi club ukienda na gauni angalau la urefu kama
au ndefu zaidi, au suruali au pedo hizo bata haziliki?
ni lazima kwenda uchi ndo utajiona upo club?
kinachofurahisha zaidi hao wenye hela wanawachezea hawa vichecheeeeee inapofika wakati wa kuoa wanatafuta wadada wanaojiheshimu ndo wanawaweka ndani..... kicheche anajikuta bado yupo dukani, lol!
ha haaa, ndo maana nikasema la urefu huo, siyo fashion hiyo......Kila kitu na wakati wake..blauzi gauni ndio fashion kipindi hiki...
Afu Fixed point hilo si gauni la ofisini kabisa...utachezaje mayenu na hilo gauni? te te te
Ndo mana wanawake siku izi hawana utamu wala ule ujotojoto.
Mapaja yote nje, sa unamtongoza wa nini?! labda ndo mana siku izi tgo ndo habari ya mjini.
Asanteeepole mwaego!
Maonyesho ya bukta