Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!


Makofi kwako!! Well said...
 
hivi club ukienda na gauni angalau la urefu kama

au ndefu zaidi, au suruali au pedo hizo bata haziliki?
ni lazima kwenda uchi ndo utajiona upo club?

Hili litanizonga bwana!! Kinatakiwa kitu kiende juu ili nikiserebuka nisipate shida.
 
Afadhali umesema 'kama'

I like people who are controversial...kuna dada namjua (anatokea Ecuador) nimesoma nae; she is extremely beautiful and always look sexy hata akiwa class/ofisini...sasa kuna kaka wa Kiganda kuna siku akaanza umbea ooohh so and so anaonekana cheap...nikamwambia weeehhh dada ana akili vibaya mno; anajipenda sana tu; Baada ya siku kadhaa huyu kaka akaja mwenyewe kukiri kuwa anamkubali mdada.... na kuwa na miakili haina maana kujiachia mpaka mi mvi ikutembelee...


Nilimpenda kwa hilo kuwa na miakili haina maana ya kuwa mpori pori...

wamevaa kama machangudoa!!
 

You are right madam, hata ofisini kwetu wapo watu wa namna hii. Lakini tujiulize swali moja, ni watu (hasa wanaume) wanaweza wakawa na nafasi ya kumjua mtu kwa undani mpaka kukubali kwamba mavazi yake hayaakisi tabia yake au thamani yake?

Ukweli ni kwamba ni wachache, first impression matters dada yangu. Personally, binti anayevaa kama huyu siwezi kutambulisha mbele ya ndugu zangu wala rafiki zangu. Sio kwamba am pre-judging them, no, kwangu mimi this is showing too much of what is not supposed to be shown.
 
ni ubinafsi wa hali ya juu kufikiria kwamba ili watu waonekane kimtazamo fulani ni lazima wawe wanafit kwenye picha iliyoko kichwani mwako. mavazi ni factor ya malezi na exposure. unanikumbusha mdada tukiwa sekondari alikuwa anatusakama kwa kuweka nywele dawa na kuvaa sarawili. nilikuja kukutana nae huko nchi za watu, amevaa kushinda wenyeji. nilitamani kumkumbusha ila nikaishia kumhurumia kwa kusupp maisha.

binafsi huwa nasema ofisini. hata siku moja sikosoi mavazi ya mtu. alikotoka ana mama, baba, kaka na dada, mabinamu na hadi mahausigelo. yaani hao wote wasione amevaa vibaya nikaone mie? who the heck freaking am i?!
 
weeh nawe! sasa hapo watu wakikuangalia si unaonekana kama ndio matron wa club? ebooo (in lara 1's voice)
hivi club ukienda na gauni angalau la urefu kama

au ndefu zaidi, au suruali au pedo hizo bata haziliki?
ni lazima kwenda uchi ndo utajiona upo club?
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha dada mmoja ameokoka; naye tena anasema wazi suruali zake anaziacha Ulaya...te te te...

Tatizo la kuvaa sababu ya kufurahisha watu fulani hilo....

Huyu dada kuna siku alitinga ofisini kwangu kuongea na ofisi meti wangu wa kiume (PhD office) yeye alikuwa mwanafunzi wa masters alikuwa amevaa gauni fupi hataree afu ana mwili kuliko masogange; I was like what is this; tena amekazana kuinama...nikasema ndio shida ya kuvamia mavazi ukubwani maana ni mke wa mtu tena mlokole...na si mimi nilokuwa namshangaa kuna mwafrika mwingine aliwahi niuliza what was wrong with her...nikayeyusha...

Hajuhi nini cha kuvaa wapi na kwa mwili upi...

Lakini mwenyewe anakiri wazi kuwa akirudi home anarudi kwenye matenge yake (mke wa mchungaji...pretense)



 
"Dress code"! Ndio maana "wanajeshi" wanakataza "raia" kuvaa mavazi ya "kijeshi".
 
Waanze kutupia vitu hivi sehemu za burudani, sipati picha.
 
weeh nawe! sasa hapo watu wakikuangalia si unaonekana kama ndio matron wa club? ebooo (in lara 1's voice)

Hahaaa matron wa club...dah mim hilo naweza vaa club kama natakiwa kuingia club...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…