MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
wamevaa kama machangudoa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umejuaje kuwa sio machangudoa?wamevaa kama machangudoa!!
Mimi nakataa eti huwa hawaolewi....eeehhhhh
Inategemea na muoaji...kama mshamba ataoa mtu kwa mavazi yake...wajanja wana dig deeper kujua tabia ya mtu na si ku simplify kwa kutumia uvaaji...
Watu tulivaa vimini sana disco enzi zetu na my hubby kwa mara ya kwanza aliniona ndani ya mini ya nguvu na aka fall....
hivi club ukienda na gauni angalau la urefu kama
![]()
au ndefu zaidi, au suruali au pedo hizo bata haziliki?
ni lazima kwenda uchi ndo utajiona upo club?
wamevaa kama machangudoa!!
bora tukumbushane haya wakina dada wenzangu....dada umenena vema.
Afadhali umesema 'kama'
I like people who are controversial...kuna dada namjua (anatokea Ecuador) nimesoma nae; she is extremely beautiful and always look sexy hata akiwa class/ofisini...sasa kuna kaka wa Kiganda kuna siku akaanza umbea ooohh so and so anaonekana cheap...nikamwambia weeehhh dada ana akili vibaya mno; anajipenda sana tu; Baada ya siku kadhaa huyu kaka akaja mwenyewe kukiri kuwa anamkubali mdada.... na kuwa na miakili haina maana kujiachia mpaka mi mvi ikutembelee...
Nilimpenda kwa hilo kuwa na miakili haina maana ya kuwa mpori pori...
hivi club ukienda na gauni angalau la urefu kama
![]()
au ndefu zaidi, au suruali au pedo hizo bata haziliki?
ni lazima kwenda uchi ndo utajiona upo club?
ni ubinafsi wa hali ya juu kufikiria kwamba ili watu waonekane kimtazamo fulani ni lazima wawe wanafit kwenye picha iliyoko kichwani mwako. mavazi ni factor ya malezi na exposure. unanikumbusha mdada tukiwa sekondari alikuwa anatusakama kwa kuweka nywele dawa na kuvaa sarawili. nilikuja kukutana nae huko nchi za watu, amevaa kushinda wenyeji. nilitamani kumkumbusha ila nikaishia kumhurumia kwa kusupp maisha.
binafsi huwa nasema ofisini. hata siku moja sikosoi mavazi ya mtu. alikotoka ana mama, baba, kaka na dada, mabinamu na hadi mahausigelo. yaani hao wote wasione amevaa vibaya nikaone mie? who the heck freaking am i?!
Mbona wamependeza hivi.....inawezekana hapo wako club so its okay ama?
Waanze kutupia vitu hivi sehemu za burudani, sipati picha.Mmh mimi hawa hawanivutii kabisa...huwa nikiwatazama napatwa na hali fulani hivi kama kutapika..sorry..!
Nina kaugonjwa na hawa wanaovaa kama picha niliyoiweka hapa...(..sijui ni ugonjwa..??). Hawa wenzetu bana nawasifu sana, na wa namna hii asilimia kubwa wana tabia na maadili mazuri sana! Tatizo linakuja unapopiga race na hizi imani zetu bana inakuwa tatizo...Hasa ukifikiria kuanza A-- wakati ulizaliwa AAA na ushafika ZZZ. Paja kazioneshee chumbani atiii!!..tena zinakuwa hazijapigwa mijua au kuchubuliwa na mi-chemicals kama hizo hapo! Kitu original...Hongereni mabinti mnaojisitiri namna hii. Kuna kautamu fulani kamejificha kwenye mavazi hayo. Na nikija kukupata lara 1 lazima nikusababishe uwe unatupia kitu kama hicho...hahahaha!!
View attachment 123599
Mbona nguo za jawaida? Njaa zenu zitawapeleka jela
Hili litanizonga bwana!! Kinatakiwa kitu kiende juu ili nikiserebuka nisipate shida.