Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

hahahahah!!!! pole yake bishosti huyu!!!

Mmmenikumbusha AKINYI wa Kisumu....


page0_blog_entry13294-1poorlydressedpeople17.jpg
 
Hamna mwanaume anapenda mtu wake ambae ana future nae ajiexpose kibwegebwege. Ila kwa wamegaji thats a perfect dress code. kama mrembo hata uvae dira bado utapendeza tu. Ila kuna events ambazo lazina utupie. sasa unakuta nguo za disco we ndo official unaishia kutongozwa na bosi, mates mpaka mfagiaji. ukiwa laini ndo baaasi unageuka kicheche.Nani ataoa kicheche cha hadharani? kudos
 
Wanaume wamewashtukia wavaaji hao wanafichamo mambo mengi... Mi nawajua nilipo tabia zao acha kabisa.
 
Ndio maana nawapenda ma-ustadhaty unakuta mtoto kapiga baibui yake swafii. Yani unaona macho tuu.
Hata mkiongozana unakuwa na amani.
Kuna mgegeduliwaji mmoja huyo alikuja kunitembelea home bwana kavaa kagauni hako kafupi afu ana Bambataa kubwa afu ndan kavaa KIBINI asee nlipata tabu njiani koz watu wa Bodaboda, bajaji, na wakware wengine walikua wanapiga kelele wengine miluzi dahh. Mmoja ndo akasema "mwanangu uyo mto**e kavu " nlijiskiaje aibu manina.
 
Back
Top Bottom