Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

habari kama hizi husindikizwa na picha mkuu
 
Watangazaji wengi bongo wanatangazavipindi huku wakitafuta soko la miili yao
 
Hamna mkuu mi sina agenda yoyote tunatakiwa kukumbushana pale tunapoona kioo cha jamii anakengeuka.
Hata kithibitisho basi kama picha au video ndio maana huo ushahidi ndio ungebeba hayo maneno yako, tofauti na hapo ndugu ni kama wataka mchafua tu
 
Hata kithibitisho basi kama picha au video ndio maana huo ushahidi ndio ungebeba hayo maneno yako, tofauti na hapo ndugu ni kama wataka mchafua tu

Nimchafue kwa lipi labda? Hapa jf hamnaga mambo ya kitoto kama hayo hapa unapata habar za ukweli na uhakika hamna mambo ya kutunga kama fb subir kesho saa nne asubuhi ujionee marudio ya kipindi uje utupe mrejesho pia ingia youtube kama wanakawaida ya kuweka vipind vyao uone suzzy simfahamu na hana cha umuhimu ktk maisha yangu zaidi ni kwa manufaa yake kesho na kesho kutwa.
 
Acha kulialia badilisha chanel.
 
Mods futen huu uzi kama mtoa post hatuwekei japo picha 10 za huyo suzy
 
Suzie anaemtafuna anafaidi hakika utamu kunoga
 
Weka picha huyo suzzy ndio nani?
Mm hata simjui
 
Binadamu tunatofautiana malengo. Kwa yule dada naisi anafanya matangazo ya mwili wake.ananikera sana ila tu kwa kuwa mabosi wake wanapenda mie sina neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…