Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu tunamuanika sisi au kajianika mwenyewe tena mubashara kwenye luningaTutakuwa tunamuanika mkuu sio vizur.
Mtu akiambiwa ukweli basi ana agenda ya siri,hebu tuache mawazo ya kitoto,kama mtu kakosea acha aambiwe hata Kama ni ndugu yakoWewe una agenda zako binafsi na huyo Dada, ukaamua kumleta huku
Hata kithibitisho basi kama picha au video ndio maana huo ushahidi ndio ungebeba hayo maneno yako, tofauti na hapo ndugu ni kama wataka mchafua tuHamna mkuu mi sina agenda yoyote tunatakiwa kukumbushana pale tunapoona kioo cha jamii anakengeuka.
Hata kithibitisho basi kama picha au video ndio maana huo ushahidi ndio ungebeba hayo maneno yako, tofauti na hapo ndugu ni kama wataka mchafua tu