Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

Jamaa amesababisha jana niangalie stesheni hii mbona hayo mapaja ya Suzzy sijayaona.siku nyingine usilete uzi wa namna hii bila picha.usiandike vitu kimbea
 
tazama hapa watabiri wa hewa wa mataifa ya wenzetu sio hapa bongo
 
Picha Tafadhali.
 
Jamaa amesababisha jana niangalie stesheni hii mbona hayo mapaja ya Suzzy sijayaona.siku nyingine usilete uzi wa namna hii bila picha.usiandike vitu kimbea

Sio mapaja tumbo lipo nje
 
tazama hapa watabiri wa hewa wa mataifa ya wenzetu sio hapa bongo

Sio utamaduni wetu mkuu ndo mana chura ya snura ilifungiwa lakin wimbo wa ACE HOOD- MY SPEAKER kwa upo fresh tu au anaconda ya nick minaj poa tu
 
Huwa hata kwangu mimi kananikera sana kanataka kuonesha fangasi zake kwenye kioo, Kawe kanavaa vizuri sio kuwa na tumbo kubwa na makalio meusi ndiyo iwe chanzo cha kuvaa VYUPI.

JINGA SANA
 
99.99% yao hutumia hivyo Vipindi vyao kama platform ya kujitangaza kwa Wanaume na ' Kujiuza ' Kwao. Ukitaka kuliamini hili nakupa assignment ndogo tu anza kuwafuatilia wale Watangazaji wote wa Kike hasa wa tv za ' Kibongo ' kisha utajua sasa wapo wapi au maisha yao yamekuwaje au wamekumbwa na nini either positive or negative. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Huwa hata kwangu mimi kananikera sana kanataka kuonesha fangasi zake kwenye kioo, Kawe kanavaa vizuri sio kuwa na tumbo kubwa na makalio meusi ndiyo iwe chanzo cha kuvaa VYUPI.

JINGA SANA

Kanishangaza sana jana aiseee
 
alafu ana umbo limekomaa kweli yani anajitahidi kujiremba lakini hata tako halichezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…