Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

Kuhusu mavazi sina comment ila mbona yule hana sauti ya utangazaji,,,??hata sura ya mvuto hana labda matako ndo yamembeba ila ni mganga njaa analazimisha fani kwakwel sauti mbovu
 
Nimescroll down mpaka mwisho wa uzi sijaona picha?! I am disappointed
 
Wakubwa ni suala la muda tu kwa haya maua. Sasa hivi yamechanua soon yatasinyaaa. Hata hicho kitovu hatatamani kukionesha kamwe
 
Hii thread tumeamua iende kavu kavu bila picha si ndio...?
 
Bila picha unatuchosha tu, sijaangalia tv nina mwaka.
 
Yaani mm akiwepo Suzy huwaga siangalii wala sisikii wanachozungumza naangalia msabwanda mpaka mwisho akiwa sam hapo nitaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom