Mavazi ya wanaume vimodo na jeans za matobo, tunaenda wapi?

ule ni ushenz sana nawashaur ata madem wenye kujielewa wakitongozwa na wanaume waliovaa jnsi imechanwa chanwa msiwakubali aiseee mana ni sawa umetongozwa na dem mwenzako
 
Huwezi lazimisha mawazo yako kwa jamii, Kama utamaduni tembea na nguo za miti,
 
Wanaume wa zamani(Wahenga) tuna mipododo ya haja kwahiyo hatuwezi kuvaa visuruali vya kubana maana mashine haitaenea tofaut na vijana wa siku hizi vibamia ndio maana wanavaa vimodo!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 


Wanaume wa Dar si wanaum wa kuwachukulia mfano, wengi wao ni tata tu kama kina Idrissa, Martin Kadinda, Diamond, Ali Kiba, na vijana wengine wasiojitambua.
 
Its a shame for a man to dress like that,,,,,,,,,,
 
Hayo ndio yanawafanya wauza dawa za nguvu za kiume wawepo bado mjini wakati mwezi wa saba umeshapita maana hizi nguo zinavyobana ni lazima joto liwe kubwa sana huko chini kitu ambacho kinapunguza uzalishwaji wa sperm sasa hawa vijana wanadhani ndio usasa kumbe ni hatari kwa ustawi wa jamii ujinga ni mzigo sana ndio maana Baba wa taifa aliuweka kama adui
 
Ni wanaume wa Dar Es Salaam hawa kama kawaida yao bila shaka
 
Ni
Hii biashara ya kuvaa ux.enge ndio siiwezi, kwangu mweno wa cadet na dessert boots tu. Jeans sikumbuki hata mara ya mwisho kununua ilikuwa lini
napenda jeans tena hizi slim tight zinatutendea haki sisi wenye flat screens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…