Mavazi yanahusikaje na utendaji kazi wa mtu?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.
Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha kwanza ulivyovaa tu? Wewe unaambiwa sasa hivi unaenda ofisini huwezi kuingia na jeans, huyu umeona wapi? Hii ni ofisi ya umma, huwezi kuingia na jeans na t-shirt. Why? (Kwa nini?)

Yaani huwezi kuingia kwenye ofisi ya umma umevaa jeans, t-shirt, na raba? Ndio tunasema "Huwezi kuvaa upuuzi kama huu." Yaani, jeans na t-shirt inaathiri vipi mtu kufanya kazi zake? Maana unajiuliza: Kazi inafanywa na jeans au kichwa chako?
 
Nlichogundua,ni kwamba vazi linamtambulisha mtu yeye ni nani,na hata eneo alililopo na fani yake
Dress the way you want to be addressed.
Huwezi kuwa lawyer halafu mteja anakuita unakuja umevaa kipensi Cha jeans na vest na juu kofia kwenye mutilio wa kikazi.hata mtu akikuona atakataa.
Dressing code inatambulisha kazi yako.
Na pia Kuna dressing codes za mahali tofauti
Kuna za ofisi,beach,club,kanisani,harusi nk
 
Akili za gz hizo munataka hata maofisini muvae kma akina mondi wapi kwenye show.mfano kwenye ualimu unataka tuvae yeyote?.
 
 
Mavazi ni utambulisho Tosha wa personality yako. Huyu mutoa post ndo wale husemaga mungu anaangalia moyo haangalii mavazi wakati huo anataka avae ovyo kanisani a msikitin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…