Mfano mavazi ya kahaba hayaendani na tabia yake? Mchungaji/ sheikh je?kinachoitambulisha tabia ya mtu ni vitendo vyake na si mavazi
Akikujibu unitagg mkuu!Mfano mavazi ya kahaba hayaendani na tabia yake? Mchungaji/ sheikh je?
Binafsi siwezi kuzijua tabia za mtu kwa mavazi lakini asilimia kubwa ya watu wanawezaga kunipa sifa zangu kwa kuangalia mavazi yangu/ninavyopendelea kuvaa.
Hivyo naamini inawezekana kuzijua tabia za mtu kwa staili hiyo.
si wote wanaovaa nguo fupi ni makahaba, masheikh na wachungaji yale ni mavazi ya rasmi kwa nafasi zao bt hayaakisi matendo yao, kuna masheik na maaskofu wazinz na wapigaji na hutumia mavaz yale kuficha uovu wao.Mfano mavazi ya kahaba hayaendani na tabia yake? Mchungaji/ sheikh je?
Word up, Mla Bata.Outfits say a lot about someone's personality, moods even status., wengine tumeenda mbali zaidi hata rangi ya nguo nitakayoamua kuvaa asubuhi huwa inadefine mood ya siku husika.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Mavazi yana taathira kubwa sana kwa mtu na tabia zake. Ila ukitaka kumjua mtu tabia yake basi angalia wale watu anao suhubiana nao,mara nyingi mtu huchukua tabia za rafiki yake.Kama ilivyo kawaida kwamba binadamu tupo tofauti socially, economically, physically, in religion na pia in cultural tupo tofauti. Kwa maana hiyo mionekano yetu inaweza ikasababisha mtu aijue tabia ya mtu fulani.
Kwa experience yako ni mavazi gani au muonekano upi humfanya mtu azijue tabia za mtu fulani?
Mfano: Ukivaa suti na briefcase mkononi unaonekana kama unaela au tajiri, mstaarabu, baba mwenye familia ya kisomi, pia unaeza ukahisi anaishi sehemu za matajiri labda Masaki, Mbezi.
Swadaktaa.Binafsi siwezi kuzijua tabia za mtu kwa mavazi lakini asilimia kubwa ya watu wanawezaga kunipa sifa zangu kwa kuangalia mavazi yangu/ninavyopendelea kuvaa.
Hivyo naamini inawezekana kuzijua tabia za mtu kwa staili hiyo.
si wote wanaovaa nguo fupi ni makahaba, masheikh na wachungaji yale ni mavazi ya rasmi kwa nafasi zao bt hayaakisi matendo yao, kuna masheik na maaskofu wazinz na wapigaji na hutumia mavaz yale kuficha uovu wao.
Acha uongo,kutoa damu si lazima group zimatch.Mi binafsi huvaa kutokana na eneo husika,yaani naenda wapi na nitakua na kina nani,Siku moja nilipigiwa simu ya dharula mama mkwe amekimbizwa hospitali nikapitilizia huko nimevaa pensi ndefu kiasi tisheti na sendo.Niliwakuta na wengine tuliooa nao hiyo familia pamoja na mashemeji,Muda wa kujadili gharama wakanitenga wakajadili pembeni wakachanga kama robo.
Sasa kimbembe kuchangia damu kila mtu anatoa udhuru mwisho ikabidi wanishirikishe bahati nzuri nikawa grupu moja nikatoa damu,kwa ukuda nikaimalizia na hela ya matibabu iliyopelea,Wenzangu waliokua wamevaa suti na kuichukilia poa pensi yangu tukaanza na kupeana namba.