Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!


WA KUJIBU HIYO HOJA NI JOHN HECHE.

TAG HIS ASS

HECHE ANASEMA CCM NA SERIKALI WAKIKIRI MAASI YAO, NA KUMUACHIA LISSU, TUTAENDA KURIDHIANA KAMA KABURU NA MANDELA NA DESMOND TUTU.

KWANI HUKO SOUTH AFRIKA WAZULU NA WA XHOSA WALIWAKOSEA NINI KABURU?

KWA NINI TUFUATE MODEL YA KIPUMBAVU YA SOUTH AFRIKA ???

KWA SAAB HATUELEWI
WANANCHI AU CHADEMA WAMEIKOSEA NINI SERIKALI

HECHE, BAADA YA OCT 29 KWENYE MAJUKWAA NCHI NZIMA UMEHUBIRI NUREMBERG TRIAL YA MA OCD NA MA DSO WA USALAMA WA ADOLF HITLER.

AMETOA MA SPICHI AMBAYO HAYAJAWAHI KUSIKIKA KWENYE MAJUKWAA AFRIKA, KWAMBA DIKTETA LIKIUA LAZIMA NA LENYEWE LIJE LIJIBU, NA MA RPC WAKE NA WAKURUGENZI WAKE WA USALAMA.

GHAFLA UNATUHUBIRIA MARIDHIANO KAMA YA SOUTH AFRIKA. SASA KWA NINI ULIHUBIRI NEUREMBER TRIAL ON OPEN RALLYS ACROSS THE VILLAGES AND TOWNS OF THIS COUNTRY AFTER THE OCTOBER MASSACRE ??????


KWA NINI TWENDE NA MODEL YA KIPUMBAVU YA KABURU NA DESMOND TUTU? MUAFRIKA ALIMKOSEA NINI KABURU NA MTANGANYIKA AMEMKOSEA NINI SAMIA, KUMWAMBIA HAWAMTAKI URAIS HAWEZI, NI MWIZI NA MTE ?????
 
Samia ni mcha Mungu sana, hapendi siasa za chuki, uhasama, fitina na uadui. Anataka siasa za kistaarabu. Hiyo maridhiano, ni kutaka kujenga uhusiano mwema, na hao wanaojifanya wapinzani.
Siasa gani za kistaarabu kwenye mfumo mbovu wa uchaguzi?mzee amesema hapo kwamba mmoja ashindwe kihalali means ije katiba mpya , tume huru ya uchaguzi , kuanzia hapo mambo yatakwenda yenyewe
 

My friends, ladies and gentlemen.

Maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, ni kwaajili ya kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si vinginevyo.

Msipotoshane tafadhali 🐒
Kwanini maridhiano yawe baada ya uchaguzi ule wenye mapungufu? Kwanini isingekuwa kabla kwasababu mambo yalikuwa wazi na madai yalikuwa wazi kwamba watu walitaka katiba mpya na mfumo huru katika tume ya uchaguzi ndio tuingie kwenye uchaguzi huru hata kama rais angeongezewa muda kupisha mchakato.
 
Maridhiano ni njia ya mkato ya wenye hatia ya kumwaga damu za watanzania october 29 kukwepa wasiwajibishwe kwenye mkono wa sheria na dhamiri. Hatutawapa urahisi huo. Historia yao lazima iandikwe kwa damu ya watu wasio na hatia waliyoimwaga ili kulinda power yao!.
 
Waliosababisha yote hayo ni CHADEMA, watoto wadogo mnawabebesha mabango ya NO REFORM NO ELECTION, bna kuwapa vidumu vya petrol kuchoma vituo vya mwendokas, unategemea nini? NDIO MAANA LISU ANASTAHILI KUNYONGWA KWA KUIINGIZA NCHI KWENYE MACHAFUKO
 
Waliouwawa ni ujinga wao wa kuleta fujo na vurugu
 
We nae una chuki za udini! wakati wa msukuma mwenzio jiwe anaua watu na kuteka,sisi tulikuwa tukimkosoa mnatufunga mdomo kwa kutuambia tumetumbuliwa vyeti fake ndiomaana tuna chuki na Jiwe!!!!!

nyie tumegundua mnaendeshwa na chuki za kidini,yaan bora nyie Rais awe tu mkristo mwenzenu hata kama ataua watu ovyo..
 
Waliosababisha yote hayo ni CHADEMA, watoto wadogo mnawabebesha mabango ya NO REFORM NO ELECTION, bna kuwapa vidumu vya petrol kuchoma vituo vya mwendokas, unategemea nini? NDIO MAANA LISU ANASTAHILI KUNYONGWA KWA KUIINGIZA NCHI KWENYE MACHAFUKO
This👆🏾level of stupidity is unprecedented.
So CHADEMA pulled the triggers, CHADEMA gave the SHOOT TO KILL order and it's CHADEMA that justified the killings of those kids.
-Water cannons kazi yake ni nini?
-Teargas canisters kazi yake ni nini?
-Rubber bullets kazi yake ni nini?
-Siku hizi mahakama hazina kazi hao CHADEMA wanawamiminia tu vijana risasi(high caliber bullets for that matter) mercilessly?
 
Jiwe aliua watu 10k? Jiwe alifanya ufisadi?
 
Umesema yote vyema Mzee MwanaKijiji..ngoja tuendelea kuwaangalia mwisho wao!
 
Haufahamu kilichokuwa kikifanywa na Wa Xhosa wa military wing ya PAC(APLA)?
Haufahamu kuwa sera yao ilikuwa ni 'one settler one bullet' na kulikuwa na mamia ya vijana wa APLA ndani ya magereza ambao waliachiwa mara tu baada ya reconciliation, hao walikuwa wanaenda kwenye makanisa ya SAns of European decent au kwenye malls na kuanza kumimina risasi hivyo ili hao APLA 'soldiers' na baadhi wa Umkhonto weSizwe ambao walikuwa kwenye death row ili waachiwe kulilazimika kuwepo na reconciliation.
Vipi au na nyiyi mtawarudisha Mdude na Ali Kibao kama kutafanyika reconciliation pamoja na vijana waliopotea 25th-Oct-2025?
 
Tunajaribu kuaminishwa kuwa tunahitaji maridhiano. Kwamba, tumekosana kiasi kwamba ili tuweze kupatana ni lazima tukae chini na kukubaliana kupatana.
Like a tale, told by an idiot
Full of sound and fury
SIGNIFYING NOTHING!
Manabii uchwara wa maridhiano wanataka taifa zima lipige magoti na kuanza kufukiza ubani kwenye madhabahu waliyoitengeneza wao; madhabahu yenye unyevu wa damu.
Out out, brief candle, out I say
Even all the perfumes of Arabia
Will not cleanse these bloody hands!

Asante Shakespeare...kwa mbali nimemkumbuka Lady Mcbeth
 
Kuna mambo yanaumiza moyo sana sana sana, CCM mna akili gani nyie Mbwa?? Namuomba MUNGU kila siku nisipate fursa, siku nikiipata hio fursa naamini na nakuapia CCM watalia sana
 
Tafakuri kubwa. Tunahitaji kujipima kama taifa, hasa viongozi. Wasioneane aibu. Toa hata kafara kundi fulani lililohusika moja kwa moja.
 
Jibu langu ni rahisi - haiwezekani hadi mmoja ashindwe kwenye uchaguzi kihalali kabisa
Hapa nakuunga mkono asilimia zote, sanasana kitakachoendelea ni maigizo ya maridhiano ya Kila baada ya uchaguzi yenye lengo la kuvipumbaza vyama vya upinzani kama si kuvilemaza kwa either kuwapa pesa au madaraka baadhi ya viongozi ili wapunguze ukosoaji kwa chama tawala, maridhiano haya daima yamekuwa yamejaa unafki, rushwa, huku nchi ikiendelea kutafunwa bila huruma, ni wazi ili maridhiano yatimie ni lazima Kila pande husika ijue mwenzake amemkosea wapi, akiri, aombe msamaha ikibidi na kuwajibika pia, lakini kwa staili ya chaguzi zetu na katiba mbovu tuliyonayo Kila baada ya uchaguzi tutakuwa na maridhiano ya maigizo yasiyoisha yenye lengo la kuendelea kukiweka chama tawala madarakani kwa maslahi yao binafsi na kufifisha juhudi za upambaniaji haki na wajibu kwa mustakabali wa taifa zima
 
"Mahitaji kidogo" si yangewafanya CCM kutumia ibara ya 100 kama walivyofanya zamani? Yaani, tulete Katiba mpya kwa ajili ya "mahitaji kidogo"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…