Mavoko: Nitakipiga brush kimombo changu, sitaki kuumbuka kama ilivyonitokea London

Mavoko: Nitakipiga brush kimombo changu, sitaki kuumbuka kama ilivyonitokea London

Tabu yote ya nini, yeye kabla ya interview anatakiwa kupiga bia kama 5 hivi, halafu aone atakavyotema Yao kama kazaliwa London
 
Kimombo ni matatizo sana jamani. Mimi nilikua mzungumzaji mzuri sana wa kimombo miaka mingi hadi mwaka jana baada ya Lowassa kupoteza urais akili yangu ikavurugika maneno yote ya kimombo yaliyokua kichwani yakatoweka.

Sasa nataka nianze moja kujifunza kimombo. Nimejifunza jambo moja kimombo hakitaki uwe na msongo wa mawazo, vinginevyo utakipoteza.
Pole mkuu sikujua athari za ndugu Edo zilikuwa kubwa kiasi hicho!
 
Back
Top Bottom