Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu sikujua athari za ndugu Edo zilikuwa kubwa kiasi hicho!Kimombo ni matatizo sana jamani. Mimi nilikua mzungumzaji mzuri sana wa kimombo miaka mingi hadi mwaka jana baada ya Lowassa kupoteza urais akili yangu ikavurugika maneno yote ya kimombo yaliyokua kichwani yakatoweka.
Sasa nataka nianze moja kujifunza kimombo. Nimejifunza jambo moja kimombo hakitaki uwe na msongo wa mawazo, vinginevyo utakipoteza.
Kimombo kilikuja na Meli...samaki wenyewe hawakukielewa!! sembuse Sisi??weee...........kimombo ni wito!!