ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nimekuqoute ili hata ukirekebisha ulivyoandika wadau waone ni kiasi gani qwerty keyboard inavyokutoa jashoHuu wimbo mpya ws rich mavoko ni copy and paste ya wimbo wa show me by harmonizd. Sasa sijaelewa ni bifu au ni kwamba ameishiwa melody na mashsiri. Inasikitisha wakati mwingine mabit na mamelody ya wcboo yanafanana tabuuu tupu
Nimekuqoute ili hata ukirekebisha ulivyoandika wadau waone ni kiasi gani qwerty keyboard inavyokutoa jasho
Kidogo kidogo utaiva tuKaka nasumbuka kweli . Nilishazoea T9 hii quert nachapia sana