Mavoko una bifu na harmonize? Why umeurudia wimbo wa SHOW ME

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Huu wimbo mpya ws rich mavoko ni copy and paste ya wimbo wa show me by harmonizd. Sasa sijaelewa ni bifu au ni kwamba ameishiwa melody na mashsiri. Inasikitisha wakati mwingine mabit na mamelody ya wcboo yanafanana tabuuu tupu
 
Nimekuqoute ili hata ukirekebisha ulivyoandika wadau waone ni kiasi gani qwerty keyboard inavyokutoa jasho
 
Jamaa hawa kila wiki sasa wanaachia tu ngoma, hivi zinaeza kuwa vizuri kweli hizo ngoma?
Maana kwa utunzi na uandishi mzuri inahitaji msanii kufikiria sana namna gani ataeza kufikisha ujumbe wake na kuburudisha watu wa rika zote bila hivyo ngoma inaeza kuchuja haraka sana.
 
Nimekuqoute ili hata ukirekebisha ulivyoandika wadau waone ni kiasi gani qwerty keyboard inavyokutoa jasho

Kaka nasumbuka kweli . Nilishazoea T9 hii quert nachapia sana
 
Back
Top Bottom