Mavoko unavyotunga nyimbo ni balaa!

Mavoko unavyotunga nyimbo ni balaa!

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
666
Yan kila mwisho wa nyimbo zako sukari ndio inazidi.
Unafanya mtu kurudia wimbo tena na tena na tena tena na tena
Ref:
Pacha wangu
Roho yangu
Ibaki story
Kokoro
Naiman
 
Mavoko hadi leo hajatunga wimbo ulionishika kama Silali.
Ule ndio wimbo wangu bora kabisa wa Mavoko, utunzi na uandishi murua kabisa ambao kila niusikilizapo lazima nitikise kichwa na kukubali...naam hapa kijana alituliza akili.

Kidoooogo labda Pacha wangu na Ibaki story, hii kokoro ya sasa kapotoka.
Sio Mavoko yule niliyemkubali.
 
Mmh je pale mwisho alipo imba

Mwenye nyumba kapanga
Boringo limekuwa vanga
Maiti imevuliwa sanda

Kweli hakuna sukari kiasi Fulani?
 
Mavoko no msanii mzuri ila kokoro kwa kweli Mimi binafsi sijaupenda. Huyu jamaa no mzuri ktk mashairi hivyo anapoimba karioki haipendezi hebu atulie, aandike nyimbo zenye mashiri mazuri maana bado no msanii mwenye uandishi mzuri na sauti nzuri.
 
Mavoko hadi leo hajatunga wimbo ulionishika kama Silali.
Ule ndio wimbo wangu bora kabisa wa Mavoko, utunzi na uandishi murua kabisa ambao kila niusikilizapo lazima nitikise kichwa na kukubali...naam hapa kijana alituliza akili.

Kidoooogo labda Pacha wangu na Ibaki story, hii kokoro ya sasa kapotoka.
Sio Mavoko yule niliyemkubali.
Katiba inakuruhusu
 
inawezekana maana mavoko wa zamani si wasasa zamani alikua haimbi nyimbo zenye ujumbe wa ajabu sijui makokoro
Ni kweli unachosema na zamani mavoko alikuwa anaimba mapenzi lakini yenye hisia kali sana, ila sehemu aliyopo sasa wanafanya biashara hivo wanajali kile kinachohitajika sana sokoni kuliko ujumbe, alipo sasa wao wanaangalia cha kwanza kabisa lazima nyimbo iwe na mahadhi kidgo ya kinaija, beat hadi videos. ila kwakuwa lengo ni kufanikiwa kwa msanii basi hakuna kibaya kwani ata kipindi akiimba nyimbo zenye ujumbe nia yake ilikuwa afanikiwe basi leo haijarishi atafanikiwa kwa aina gani ya nyimbo ni vizuri afikie lengo.

Maana haina maana kama wewe unauza mfano vitumbua vya iriki na jirani nae aanze biashara ya vitumbua nayeye auze vya iriki, razima biashara itamdodea tu, ila kama kajipanga kutake over hilo soko la vitumbua atakuja na vitumbua vya mayai. Ndio anachokifanya saizi mavoko, mfano darasa zamani anakwambia alikuwa anarap nyimbo zenye ujumbe ila zikawa zinabuma hadi pale alichange gia angani kama alivyofanya joh makini na kwa sasa darasa mambo mswano
 
Wimbo mkali wa mwisho kutoka kwa Mavoko ulikuwa NAIMANI....yule ndio mavoko tunaemjua.

Ukirudi pale nyuma kidogo kuna Pacha wangu na ile Roho Yangu zile zilikuwa mwana ukome.

Ila toka pale naona kelele tu toka kwake.
 
Mavoko hadi leo hajatunga wimbo ulionishika kama Silali.
Ule ndio wimbo wangu bora kabisa wa Mavoko, utunzi na uandishi murua kabisa ambao kila niusikilizapo lazima nitikise kichwa na kukubali...naam hapa kijana alituliza akili.

Kidoooogo labda Pacha wangu na Ibaki story, hii kokoro ya sasa kapotoka.
Sio Mavoko yule niliyemkubali.
Hata ungekuwa mzuri ungesema mbaya kwa kuwa ni wa timu ile
 
Kwa upande wangu nyimbo alizo toa akiwa wasafi zipo vzur sana kila la kheri kwake .
Kikubwa ameonyesha kubadilika Na huo ndio usanii
 
Nyimbo nzuri sana tena sana,,,,,,
 
Kokoro is the worst song of the year.

Kuanzia video, beat na mbaya zaidi kumuweka Diamond humo ndo umekuwa mbaya kabisa.
Kwa taarifa yako kokoro ndo nyimbo ya mafanikio kwa rich mavoko hadi sasa
Ameanza kupata simu za interviews Ghana na Nigeria
Sasahivi anajinoa na English
Mavoko sasahivi dhamani yake imepanda mara dufu all the way up
 
Pacha wangu ilitulia sana kuanzia audio mpaka video
 
Kwa taarifa yako kokoro ndo nyimbo ya mafanikio kwa rich mavoko hadi sasa
Ameanza kupata simu za interviews Ghana na Nigeria
Sasahivi anajinoa na English
Mavoko sasahivi dhamani yake imepanda mara dufu all the way up
Nimekwambia wimbo ni mbaya na sio kwamba hana mafanikio au la.
Hizo simu anapigiwa simply kwasababu yupo chini ya WCB.
 
Back
Top Bottom