Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache!
Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi siku hiyo!
================
Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa kata ya Masaba, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, wamekumbana na kizuizi cha kisheria kuhusiana na kuapishwa.
Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi jimbo la Butiama, Charles Kishamuli amesema mawakala hao wameshindwa kuapishwa baada ya kushindwa kukidhi vigezo ikiwa ni pamoja na kutokuwasilisha barua za utambulisho kutoka kwenye chama chao.
Akizungumza na wanahabari kuhusu mawakala wa Kata ya Masaba, kwamba hawakuapishwa baada ya kushindwa kuwasilisha barua za utambulisho zilizogongwa muhuri kutoka katika chama chao.
"Mgombea yeye alipeleka orodha ya wagombea aliyoandika kwenye karatasi bila barua ya utambulisho, akapewa maelekezo nini cha kufanya,” amesema.