Jumla ya wapiga kura 88,000 walitarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, uliofanyika jana Desemba 30, 2025.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Siha, Marko Masue, amesema jumla ya vituo 230 vya kupigia kura vilitengwa kwa ajili ya zoezi...
Hawa wasitupigie kelele.
Huwezi ukawa unafanya kitu kile kile miaka yote alafu ukategemea matokeo tofauti. Lissu alipowaambia wajiunge nae kwenye NRNE walisema kuwa Uchafuzi, sorry, Uchaguzi upo Kikatiba kwa hiyo wataenda kupambana
Sasa hivi wanalia tena?
==================================...
Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache!
Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi siku hiyo!
================
Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa kata ya Masaba, Wilaya ya Butiama...
UCHAGUZI UMEGEUKA UCHAFUZI TENA. JIMBO LA MAFIA Wasimamizi wamekimbia vituo hawataki kuwaapisha Mawakala wa Vyama vya upinzani wanasema wamechelewa na muda wamepanga wao. Hivi ndivyo mlivyowanoa wakimbie vituo. Mtakiona oktoba 29
Pia soma > ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.