Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA Chato waeleza kuwa hawajaapishwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania

Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa

Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.

Source: Swahili Villa
 
Hata mm nimemkwida mkurugenzi. Mpk OCD alipofika alikuwa anahema kama kuku anayeumwa mdondo. Nyambafu!

Akashauriwa aapishe mawakala wangu 6 aliyokuwa anawafanyia figisu.

Tuacheni uwoga watanzania. Lisu anachechema lkn ujasiri 100% wewe uko kamili na viungo vyote ujasiri 0%
 
Huyu jamaa akitawala tena miaka 5 tutalimia ulimi badala ya meno tuliolimia miaka 5 iliyopita.

Halafu kama tutaruhusu atawale tena miaka 5 atabomoa ndoa zetu badala ya nyumba zetu. Maana hali itakuwa ngumu balaa. Hela yote anaipeeleka kwenye reli.
 
21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania

Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa

Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.

Source: Swahili Villa

Haya mambo ya kulalamika lalamika bila kuchukua hatua yafikie mwisho. Mbona sehemu nyingine huko wamechukua hatua madhubuti na wakaapishwa?
Tuiishi kauli ya "SASA BHASI, INATOSHA"
 
Nipo chato..
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la chato umefanya ujinga mkubwa sana ambao haujawai kutokea tangu Dunia inaumbwa
Fanyeni kama Songwe. Watu nyomi ya mawakala wa Chadema Jimbo zima imeandamana kwenda nyumbani kwa mkurugenzi. Siyo ofisini, nyumbani. Walipofika tu akaona hizi sura siyo. Akaanza kuwaapisha. Chezea nguvu ya umma wewe!!
 
21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania

Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa

Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.

Source: Swahili Villa

Jimbo limeshaenda Chadema
 
CCM ni chama dhaifu sana
Nilikwambia wamefanya vizuri kumfanyia kampeni Mbowe, kwa kuwa wananchi wemekengeuka. Ukajibu sijui kita, sawa.

Leo Kilimanjaro imeongea na kama unatoka Kilimanjaro kuna ujumbe mzito umebebwa na mapokezi leo, wasiliana na contacts zako ujitoshe.
 
Fanyeni kama Songwe. Watu nyomi ya mawakala wa Chadema Jimbo zima imeandamana kwenda nyumbani kwa mkurugenzi. Siyo ofisini, nyumbani. Walipofika tu akaona hizi sura siyo. Akaanza kuwaapisha. Chezea nguvu ya umma wewe!!

Wahusika sijui watachukua hatua gani!!
Kwa upande wangu, najaribu kufanya uwiano wa kiitikadi na uwajibikaji wa viongozi wetu naona wapo kisiasa siasa za karne ya 16 huko england.
 
Nilikwambia wamefanya vizuri kumfanyia kampeni Mbowe, kwa kuwa wananchi wemekengeuka. Ukajibu sijui kita, sawa.

Leo Kilimanjaro imeongea na kama unatoka Kilimanjaro kuna ujumbe mzito umebebwa na mapokezi leo, wasiliana na contacts zako ujitoshe.

Hao wanaosombwa na magari na kufunga ofisi pamoja na shule zote na kuwavalishe tshirt Kwani ni wapigakura hao wanafunzi w miaka 15. Subirini siku ya uchaguzi ndo mtawaelewa watanzania
 
Back
Top Bottom