Mawakala wa kazi za nje ya Tanzania

Mawakala wa kazi za nje ya Tanzania

simshauri mtu yeyote aende kufanya kazi India , jamaa hawafahi wabaguzi na watesaji wakubwa
wenyewe kwa wenyewe wanabaguana na kutesana kupita kiasi
Wahindi wanabaguna sana .kuwa wale from Clera awajamaa wanajifanya wasomi sana ndio wanaongoz kwa ubaguzi India nzima. Wanafki mbwaa
 
Kazi Dubai na Oman zipo.
Wanaume tsh 3.5M for Dubai
Wanaume tsh 2.5M for Oman

Wanawake watalipiwa na Kampuni husika yenye uhitaji wao.

NB: uwe na pesa usilete longolongo Agent wa uhakika yupo. Uwe na Passport
Ndio wale wale
 
Mmmh!...kwa dunia ya kizazi hiki ilipofikia sasa kwa kuuza viungo vya mwili wa Binadamu kama figo, inataka moyo sana.
Niliwahi kuwaza juu ya njia ya kujikinga na hii hatari hasa unapokuwa mzingira ya njee ukitaka kujua kama wanataka kukuchomoa hizo figo zako fanya kunywa kiywaji kikali ukiwa hakikisha amekuona then observe the reactions watakuuliza wew huwa ni mtumiz wa hivi vitu jibu tangu nna miaka 12 nagonga hizi mamb, study changes from there.
 
Back
Top Bottom