Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada


Uko vizuri mkuu
 
Kuna Bravo Recruitment Agency

Kuna Competitive Manpower International Ltd wapo Magomeni pale.

Kuna Sasy Recruitment Agency pia wapo Magomeni.

Jaribuni Hao.

Kuna kampuni kule Saudi Arabia inaitwa Almarai naona wanachukua sana waTanzania kupitia hao agency. Jaribuni bahati.
 
Vipi hali zenu wakuu nilikuwa naomba msaada wa mawakala wa kazi katika nchi za Ulaya au nchi za kiarabu ila sanasana nchi za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…