Ndio nalifahamu hilo ila huwa linatokea mara chache sana.Hiv unajua wapo wanawake wanavishwa mpaka pete ya uchumba na bado jamaa anakula kona
Hapa umecomment au umetaka ujulikane jinsia yako?Kama ndo tabia zenu itabidi tuwatume ndugu zetu wa kiume.
[emoji106]Kweli Dada yangu, ngoja na mimi siku moja nitaliprove hili jambo maana haliepukiki[emoji2] [emoji2]
Ni kweli kabisa,huwa simalizi sekunde 30 linapotokea hili, na hata mtu kama ananipigia na hatak kujitambulisha huwa namuondoa hewani fasta sana, tena nna true caller so hata ikija namba mpya ya jina nisilolijua naweza nisipokee hata simu yenyeweKweli kabisa usemalo mkuu ila siku hizi kwa jinsi dunia ilivyoharibika na watu wasiojulikana walivyokuwa wengi ni mara chache sana eti ukosee namba hata kama mwenye simu atakupokea kiungwana hawezi kupa ushirikiano utakaouhitaji.
Zaidi ya kukwambia umekosea namba na kukukatia simu na walio wengi huwa hawapokei tena.
Umeonaeee. Hivyo rafiki mie najionea solution ni mtu aombe namba na itolewe kwa hiari ili pale mpewa namba atakapoamua kumwaga sera zake, iwe hiari ya mtu kukubali au kukataa na sio eti kusubiri aje kutuma pesa eti ndio afanye mambo ambayo ni nje ya maadili ya kazi yake.Ni kweli kabisa,huwa simalizi sekunde 30 linapotokea hili, na hata mtu kama ananipigia na hatak kujitambulisha huwa namuondoa hewani fasta sana, tena nna true caller so hata ikija namba mpya ya jina nisilolijua naweza nisipokee hata simu yenyewe
Sasa mteja anaweza akaja leo,huna uhakika kama atarud nimeomba namba ameniletea Nyodo,Umeonaeee. Hivyo rafiki mie najionea solution ni mtu aombe namba na itolewe kwa hiari ili pale mpewa namba atakapoamua kumwaga sera zake, iwe hiari ya mtu kukubali au kukataa na sio eti kusubiri aje kutuma pesa eti ndio afanye mambo ambayo ni nje ya maadili ya kazi yake.
Cha kufanya ni kuachana naye na kusubiri ambaye utamuomba akakupa. Mbona simple sana Mkuu. HahaaaSasa mteja anaweza akaja leo,huna uhakika kama atarud nimeomba namba ameniletea Nyodo,
What should I do?
Inabid nirud kwenye miamala
We mwenyewe unajua kabisa haiwezekani?Huyo atakayekuja atakuwa na sifa kama za huyu?Cha kufanya ni kuachana naye na kusubiri ambaye utamuomba akakupa. Mbona simple sana Mkuu. Hahaaa
alikukubalia? kwani wewe ulishindwa kutofautisha sauti ya binti na ya mama mtu mzima?Ha ha we jamaa mwehu sana...umenikumbusha mbali nilidaka namba ya mrembo matata kumbe ni ya mama yake...
Nikaanza kumchombeza kuja kuonana naye toba walahi
Hahahaaa. Ila saa nyingine kuna kukosa akishamkosa yule aliyempoint lazima atahamia kwa mwingine bana.We mwenyewe unajua kabisa haiwezekani?Huyo atakayekuja atakuwa na sifa kama za huyu?
Simba hata akute swala 100 yeye atadeal na mmoja ambaye alishampoint[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
InaumaaaaHahahaaa. Ila saa nyingine kuna kukosa akishamkosa yule aliyempoint lazima atahamia kwa mwingine bana.
Hahahaaa. Inabidi kuyavumilia maumivu sababu hakuna jinsi.InaumaaaaView attachment 646287
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa. Inabidi kuyavumilia maumivu sababu hakuna jinsi.
Ila nimecheka hiyo picha duuh. Huo ni zaidi ya uoga.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha inaashiria Maumivu makali,
Kumkosa ulompenda inauma sana.
Hamna kazi kubwa zaidi ya mzigoSasa mbinu ziwe za kuumiza kichwa basi na sio nyepesi nyepesi sababu hata ukifanikiwa kumpata unaweza shindwa hata kujiona kwamba ama kweli umefanya kazi kubwa mpaka kumpata.
Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.
Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.
Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.