Mawakala wa M-PESA, TIGOPESA na AIRTELMONEY tunaochukua namba za warembo kupitia miamala tukutane hapa.

Mawakala wa M-PESA, TIGOPESA na AIRTELMONEY tunaochukua namba za warembo kupitia miamala tukutane hapa.

Kweli kabisa usemalo mkuu ila siku hizi kwa jinsi dunia ilivyoharibika na watu wasiojulikana walivyokuwa wengi ni mara chache sana eti ukosee namba hata kama mwenye simu atakupokea kiungwana hawezi kupa ushirikiano utakaouhitaji.

Zaidi ya kukwambia umekosea namba na kukukatia simu na walio wengi huwa hawapokei tena.
Ni kweli kabisa,huwa simalizi sekunde 30 linapotokea hili, na hata mtu kama ananipigia na hatak kujitambulisha huwa namuondoa hewani fasta sana, tena nna true caller so hata ikija namba mpya ya jina nisilolijua naweza nisipokee hata simu yenyewe
 
Umeonaeee. Hivyo rafiki mie najionea solution ni mtu aombe namba na itolewe kwa hiari ili pale mpewa namba atakapoamua kumwaga sera zake, iwe hiari ya mtu kukubali au kukataa na sio eti kusubiri aje kutuma pesa eti ndio afanye mambo ambayo ni nje ya maadili ya kazi yake.

Na kufanikiwa kwenyewe kunakuwa kwa bahati nasibu.
 
Umeonaeee. Hivyo rafiki mie najionea solution ni mtu aombe namba na itolewe kwa hiari ili pale mpewa namba atakapoamua kumwaga sera zake, iwe hiari ya mtu kukubali au kukataa na sio eti kusubiri aje kutuma pesa eti ndio afanye mambo ambayo ni nje ya maadili ya kazi yake.
Sasa mteja anaweza akaja leo,huna uhakika kama atarud nimeomba namba ameniletea Nyodo,
What should I do?
Inabid nirud kwenye miamala
 
Cha kufanya ni kuachana naye na kusubiri ambaye utamuomba akakupa. Mbona simple sana Mkuu. Hahaaa
We mwenyewe unajua kabisa haiwezekani?Huyo atakayekuja atakuwa na sifa kama za huyu?
Simba hata akute swala 100 yeye atadeal na mmoja ambaye alishampoint[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha we jamaa mwehu sana...umenikumbusha mbali nilidaka namba ya mrembo matata kumbe ni ya mama yake...
Nikaanza kumchombeza kuja kuonana naye toba walahi
alikukubalia? kwani wewe ulishindwa kutofautisha sauti ya binti na ya mama mtu mzima?
 
Hahahaaa. Ila saa nyingine kuna kukosa akishamkosa yule aliyempoint lazima atahamia kwa mwingine bana.
Inaumaaaa
IMG_20171123_131039.jpg
 
Nichukulie namba za sky eklat nitakulipa kiasi chochote kile utakachotaka mkuu

Don't mind me
 
Hahahaaa. Inabidi kuyavumilia maumivu sababu hakuna jinsi.

Ila nimecheka hiyo picha duuh. Huo ni zaidi ya uoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha inaashiria Maumivu makali,
Kumkosa ulompenda inauma sana.
 
Sasa mbinu ziwe za kuumiza kichwa basi na sio nyepesi nyepesi sababu hata ukifanikiwa kumpata unaweza shindwa hata kujiona kwamba ama kweli umefanya kazi kubwa mpaka kumpata.
Hamna kazi kubwa zaidi ya mzigo
 
Udomo zege rafiki yangu ndio tatizo kubwa, na ukosefu wa pesaaa...!

Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
 
Ni bora umuombe namba akupe. Kuliko kuchukua bila kupewa kwenye mihamala ni kinyume na Maadili ya Kazi na pia akijua unaweza ukawa unafukuza wateja
 
Back
Top Bottom