Mawakala wa M-PESA, TIGOPESA na AIRTELMONEY tunaochukua namba za warembo kupitia miamala tukutane hapa.

Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
mawazo kama yako nilikuwa nayi kipindi siwezi kuhonga hata buku ten, siku ukiwa na uwezo wa kuhonga hata buku tano hayo unayoongea utasahau
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sasa mtu akikataa kukupa namba si basi jamaani Mkuu kwani mpaka mlazimishe? [emoji12]
Huwa sio rahisi hivyo kukubaliana na ukweli, yaani amekataa basi ndo unapotezea?Nope, lazima utumie mbinu mbalimbali KUIPATA🙂
 
Sasa mbinu ziwe za kuumiza kichwa basi na sio nyepesi nyepesi sababu hata ukifanikiwa kumpata unaweza shindwa hata kujiona kwamba ama kweli umefanya kazi kubwa mpaka kumpata.
Kumbe ndio mana mnatuzungusha sana ili tuone ugumu
 
Sasa mbinu ziwe za kuumiza kichwa basi na sio nyepesi nyepesi sababu hata ukifanikiwa kumpata unaweza shindwa hata kujiona kwamba ama kweli umefanya kazi kubwa mpaka kumpata.
Kwenye vita emmyta any tactic is applicable, kudukua namba yako unapokuja kwenye tigo pesa yangu hakuna tofaut na kumuomba namba yako mtu mwingine alo nayo pasina kukwambia
 
Ha ha we jamaa mwehu sana...umenikumbusha mbali nilidaka namba ya mrembo matata kumbe ni ya mama yake...
Nikaanza kumchombeza kuja kuonana naye toba walahi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mmh. Hivyo mwenye pesa huwa hatongozi?. Au sijakuelewa Mkuu.
Mwanaume mwenye pesa huwa hana muda wa kubembeleza, hata akiomba namba ukikataa anasema poa anaondoka bila hata kinyongo ila wasio na pesa atanyoka nawewe kila unapoenda na ukimpa namba lazima ahakikishe hapo hapo kama ni kweli lakini mwenye pesa unaweza kumpa namba leo akakucheki jumatano ijayo
 
Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Something which is Good, lakini mzungushwaji lazima afikiri mbinu rahisi kwake ili mambo yake yamnyookee
Lakni hii mbinu yao ya kutuzungusha mda mrefu huwa inawanyima watu sahihi wakati mwingine. Wapo wanaume hawawezi kumfuatilia mwanamke mda mrefu na sio kwamba hampendi anampenda ila kwa kuwa anazungushwa anakata tamaa
 
Na hapa sijui nani aliwadanganya kuwa kuzungusha ndo kipimo cha ubora wa mwanamke na kipimo cha kumpima mwanaume kama amepende. Namuona hata emmyta ameongelea hapo juu. Unaweza kupishana na mtu sahihi kabisa kisa tu uavutavuta muda
 
Exactly...
 
Mwanaume mwenye pesa huwa hana muda wa kubembeleza, hata akiomba namba ukikataa anasema poa anaondoka bila hata kinyongo ila wasio na pesa atanyoka nawewe kila unapoenda na ukimpa namba lazima ahakikishe hapo hapo kama ni kweli lakini mwenye pesa unaweza kumpa namba leo akakucheki jumatano ijayo

Mmh. Hapo inategemea na aina ya mwanamke mkuu kuna wengine hata kama una pesa zako ni lazima ubembeleze ndipo umpate.
 
Kubembeleza hakukwepeki emmyta na kutanoga baada ya kutoa namba ya simu...............IN A GOOD FAITH
 
Ndio Swahiba sasa utasifia nini kwenye kumpata mwenza wako ikiwa umemuomba namba tu akakupa, umerusha ndoano tayari ameshanasa mi sioni kama ni raha aisee, lazima ukikaa na mwenza wako saa nyingine ukumbushie ulivyosota hadi kumpata.
Haha swahiba kwenu mnaona sawa, ila wapo wanaume wengine ukimzungusha sana atakomaa na wewe hadi mwisho siku unaachia tu anakula alafu humuoni tena
 
Back
Top Bottom