Mawakili na madaktari ni walevi sana

Halafu sasa hivi anakunywa pombe balaa huyo mayalaa/njaa.
 
Walevi wetu:-
1 Madalali
2 Wacheza kamari
3 Wanajeshi/Usalama na Polisi
4 Wadangaji
5 Wafanyakazi wa benki
 
Inatokana na mazingira ya kazi; mfano daktari ili awe na ujasiri wa kuvumilia mazingira ya kumtibu mtu aliyechalangwa na mapanga, inabidi awe na kitu cha ziada kichwani
 
Walevi wetu:-
1 Madalali
2 Wacheza kamari
3 Wanajeshi/Usalama na Polisi
4 Wadangaji
5 Wafanyakazi wa benki
Namba tatu umewaonea, maana wengi wao mshahara wao mdogo sana muda wa kunywa bia wanatoa wapi?
 
Ulevi ni tabia ya kushindwa kuutawala mwili na hauna uhusiano na professional.
 
Yani wewe huu Uzi wako ni spesho kwa WAKILI tu....huna lolote.
 
Tabia za mlevi hua nashindwa kuzitofautisha na zile za kichaa. I treat the two the same.
 
Namba tatu umewaonea, maana wengi wao mshahara wao mdogo sana muda wa kunywa bia wanatoa wapi?
Napinga hoja yako..walevi sana hao,kama police kwa rushwa na ombaomba..wanajeshi salary mzuri na posho/maruburupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…