econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka Jumanne ya wiki ijayo kukataliwa.
Naona Gachagua kaamua kurusha taulo.
Pia soma: Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi
Naona Gachagua kaamua kurusha taulo.
Pia soma: Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi