Mawakili wa Gachagua wakimbia Seneti

Mawakili wa Gachagua wakimbia Seneti

ila jamaaa alivumilia akashindwaa

MMajuzikasema wafanye watakaloo nitawatajia hadharani wapi watu waliitwa kupewa pesa na n wakubwa wa ile tumee..

Sijasikia mzee toru amejibu wala wale wahuni wapigakura kuisemea ataje n wapi

yajayoo yanafurahishaa sana
 
mke wa gwachagwa
Mungu amsimamie yaan toka majuzi wameanzisha sala na mfungo na ana ujasiri wa kusema wapendwa Mungu ndie anakutaka uwe wapi na akitaka utoke hapo atajua wapi pa kukupeleka

Anaomba wakenya tumwachie Mungu afanye kazi yake

Wapo waliokuwepo wakubwa leohii hawapo tena madarakani na wengine dunian

msihuzunike kwa lolote tumshukuru Mungu

Tumekuja dunian
Kuishi
Kumtangaza Mungu
Na kutangaza injili yake na makuu yakee basii watuuuweweeweewee
 
hivi snoopy snoopy kwa simu n. Shida yukowapihuyo snoopy
 
Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka Jumanne ya wiki ijayo kukataliwa. Naona Gachagua kaamua kurusha taulo.
mutu ya murima amepelekwa home Nyeri town kwa express vote dah, kiburi bana 🤣
 

Attachments

  • 5855243-e350197948cdd403b8595446b361f914.mp4
    11 MB
Mawakili 20 bado Naibu wa Rais (Mstaafu) Gachagua kafukuzwa kazi. Mawakili mnaokota dhambi Kwa tamaa ya pesa.
 
KAWAACHIA WAFANYE UJINGA WAO SENETI WASHAPEWA MAAGIZO UNAHISI WANAENDA KUFANYA NN KAMA SIOKUPOTEZA MDA...

Kama wabunge walionyesha vile vituko seneti nani waje tofauti

Shame kenyans
Maigizo ulitoa wewe? Evidence unayo?
 
Back
Top Bottom