mutu ya murima amepelekwa home Nyeri town kwa express vote dah, kiburi bana 🤣Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka Jumanne ya wiki ijayo kukataliwa. Naona Gachagua kaamua kurusha taulo.
Maigizo ulitoa wewe? Evidence unayo?KAWAACHIA WAFANYE UJINGA WAO SENETI WASHAPEWA MAAGIZO UNAHISI WANAENDA KUFANYA NN KAMA SIOKUPOTEZA MDA...
Kama wabunge walionyesha vile vituko seneti nani waje tofauti
Shame kenyans