well done mahakama huru za Tanzania kwa weledi wenu katika kuamua mashauri,View attachment 3691793
Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona tu na sio kusikia mazungumzo.
Soma pia:
- Mawakili wa Lissu wamfungulia kesi Kamishna wa Magereza na Mkuu wa Gereza kuu la Ukonga
- Tundu Lissu kumhoji Kamishna Mkuu wa Magereza na Mkuu wa Gereza la Ukonga (Julai 1-3, 2026)
Maagizo hayo yametolewa leo Oktoba 16, 2026 katika kikao cha Mahakama hiyo Masjala Kuu ya Dodoa kilichoketi Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam katika shauri na 7300/2026 lililofunguliwa na Kulwa Maduhu na wenzake ambao ni Mawakili washauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu wakidai kuzuiwa kuonana na mteja wao na wakati mwingine walipoonana nae kukosa usiri wakati wa mazungumzo.
Akisoma uamuzi huo Jaji Amir Mruma ambaye ni kiongozi wa Jopo la Majaji watatu waliokuwa wakisikilzia kesi hiyo amesema"Mamlaka ya magereza ya Ukonga wafuate kanuni kuhakikisa maafisa Maafisa Magereza wanaangalia usalama lakini wawe umbali wa kutosikia."
Pamoja na maagizo mengine yaliyotolewa katika uamuzi huo mahakama hiyo imetamka kuwa kitendo cha Maafisa Magereza kusikiliza mazungumzo ya Lissu na Mawakili wake au washauri wake wa kisheria ambao ni Paul Kisabo na Nashon Nkungu ni uvunjifu wa Kanuni ya 13 ya Uendeshaji wa Magereza.
"Tunatamka Kanuni 13 ya Uendeshaji wa Magereza ya mwaka 1968 inataka mashauriano kati ya mfungwa na mshauri au wakili wake yafanyike mahali ambapo Magereza wanaweza kuona lakini hawawezi kusikia."
Pamoja na hayo hukumu hiyo imetamka kuwa kuzuiliwa kwa Wakili Maduhu Oktoba 28, 2025 kuingia gereza la ukonga licha ya kuonyesha vitambulisho vyake vya uwakili sababu ikitajwa kuwa hayupo kwenye orodha ya Lissu aliyowasilisha gerezani sio sahihi na sio sababu inayojitosheleza kwani kama Wakili na mshauri wa kisheria alikuwa ana sababu za kutosha kuonana na mteja wake.
Hata hivyo pamoja na uamuzi mwingine Mahakama hiyo Mahakama imeagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kamishna Jenerali wa Magereza na Mkuu wa Gereza la Ukonga kuhakikisha Mawakili wa Lissu watakapoenda gerezani hapo waweze kukutana na kufanya mazungumzo na mashauriano na mteja wao pasina kuingiliwa kwa vyovyote wala kusikilizwa.
Chanzo: Jambo TV
mashoga ya ccm tarehe 6/11 yatapata stroke pale mwamba atakaposimamisha jiji.View attachment 3691793

lipigwa miti la lumumba 2030 lazima likimbie nchi na mabasha yake.well done mahakama huru za Tanzania kwa weledi wenu katika kuamua mashauri,
maelekezo yenu ya kisheria yatazingatiwa na kufanyiwa kazi kwa vitendo kwa kuzingatia mazingira na hali halisi ya kiusalama ya eneo husika. Hata hivyo, suala la usalama wa wafungwa na mahabusu ni muhimu zaidi ya maelekezo ya jumla jumla tu.
Lakini pia kama wananchi,,
tunashukuru sana mahakama huru ya Tanzania kwa namna mnavyofanya mambo yenu kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Taasisi husika chini ya serikali sikivu ya CCM, itapokea maelekezo yenu kwa mikono miwili na kuona namna bora zaidi ya kuyatekeleza 🐒
Call those imbecile and idiots to give you answers because,all already have answers fromr day one of the dramawadau kwema, leo kesi ya kikatiba kuhusu bwana jera kuzuia mawakili wa Lissu imesomwa, ambapo serikali imebondwa kisawasawa sasa swali langu ni je haya ni maandalizi ya kisaikolojia kwa ccm na genge lao kuwa tarehe 06/11/2026 wajiandae kutoa mlio mkubwa zaidi? naomba majibu wakuu, only for unimbecile people and not idiots.
06 NovemberDalili ya moshi mweupe kuelekea 13 Novemba
Hiyo ni kuweka kumbukumbu sawa, kuna mwingine atakutwa na kesi kama ya lissu na haya maamuzi yatarejelewaHivi hiyo inasaidia Nini wakati huu ambapo kesi inasubiri hukumu?
hiyo HUKUMU ni precedence/case law kwa kesi zitakazofuatia. Ni ya muhimu sana. Angalau Mahakama ijitahidi kukatunza kaheshima kadogo kalikobakia. maana Bunge Chali! rubbish kabisaHivi hiyo inasaidia Nini wakati huu ambapo kesi inasubiri hukumu?
Kiboko cha Mazwazwa, habari za mchana.wadau kwema, leo kesi ya kikatiba kuhusu bwana jera kuzuia mawakili wa Lissu imesomwa, ambapo serikali imebondwa kisawasawa sasa swali langu ni je haya ni maandalizi ya kisaikolojia kwa ccm na genge lao kuwa tarehe 06/11/2026 wajiandae kutoa mlio mkubwa zaidi? naomba majibu wakuu, only for unimbecile people and not idiots.