Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

wamuachie mfalme zumaridi ,tunamkumbuka kwa manjonjo yake!!na ule mjengo wake sijui Nani anakaa sasahivi!! na je makerubi wake waliobaki ,wamesambaratika au bado wanaendelea kuwepo neani ya jumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apelekwe gereza la Ngudu tafadhali aje asaidie kuvuns mpunga
 
serikal ua inalugha yake ukishndwa kuelewa ya maneno inakupa ya picha ukishndwa kuelewa ya pcha ikukupa ya vtendo hata ue na jiwe kichwan lazima utaelewa tu. Huyu mtu alikua anakatazwa kila kukicha na hilo kanisa lake lakn akawa anajiona yeye ndio kila ktu waumin wake magar yao yameandikwa "Zumarid mungu wa jua" haya mungu wao yuko butimba apo kimsng hamna kesi n wanamweka il ao waumin wake mazuzu yajitambue kwanza na wapoteane mana hata wale waliosema hawatak dhamana wataenda nae jela washakimbia sku nying kabak na msalaba wake
 
Huyo ananyooshwa tu hadi akili imkae sawa.
Tatizo alikuwa anawaharibu vijana kwa huduma yake ya kuishi kwake kula na kulala bure ili mradi awe ana abudiwa
Vijana wasiojitambua wakaamua waache kujitaftua ridhiki ile wawe wanaishi bure kwa ujira wa kumwabudu Zumaridi.
Kuwa na uwezo na kutumia uwezo wako kuwaharibu vijana wasiojitambua ni kosa.

Pia serikali inataka kujiridhisha kama kuna watu walikuwa nyuma ya huduma ya Zumaridi.
Nani ni Wafadhiri wake wakuu na wana lengo gani.

Zumaridi ni mhalifu.
 
Ni vile dhambi ina asili ya kujirudiarudia, laiti angeacha hiyo dhambi mapema akamrudia Mungu yote haya yasingemkuta
Wewe huna dhambi???, mbona wakina gwajima, kakobe na mwamposa ndo matapeli wakubwa lakini hawakamatwi tena mwamposa alitoa kafara ya damu zaidi ya watu 13 huko moshi
 
Acha kejeli mkuu!

Yesu ndo wa kumfananisha na zumaridi kweli!? Umetumia kigezo gani kufanya comparison?

Tuombe msamaha wakristo wote!
Tulia wewe mbona kama unataka kumsomea hukumu....huoni unaingilia majukumu ya Mungu?
 
Kama ni adhabu ya kuwakataza polisi wasifanye kazi zao kupitia makerubi basi inatosha..wamuachie sasa arudi uraiani...mana kimsingi hakuna kesi hapo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama sio mkristo nadhani ingefaa ukae kimya tu mana hujui ulisemalo.

#MaendeleoHayanaChama
Ww ndio hujui uwe mkiristo au not ...all in all Yesu sio Mungu na hawezi kuwa mungu kamwe...
 
Wanamtesa Mama wa Watu jamani,
Apewe dhamana kama ni kesi ikasikilizwe akiwa nje, kwanini mahakama zinapenda kujaza watu gerezani?
 
Du... ka mungu la mitaani sasa kamanza kuelwa kuwa yeye si chochote wala lolte.
Kwenye gereza anamokaa na wanawake wenziwe anaogopa kufanyiziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…