Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

tema mate chini...hujafa hujaumbika....usimtukane mamba kabla hujavuka mto.....na usimtukane mkunga na uzazi ungalipo...
Hili nalijua mtu kama zumaridi sitishiki, hivi unajua tunamfahamu kabla ya kujiita mfalme? Ahaaaa zumaridi mme wake yuko hapa hapa, alikopaga pesa akashindwa kullipa alauza vitu kibao akahama na kuachana na mme wake akaenda dar, kurudi ndo kaja na huo umungu sasa kiumbe kama huyo anitiishe?

Au ulimaanisha kuwa nisitukame mamba kabla sijavuka mto kwamba na mimi siku moja nitaingia gerezani? Ndio naweza ingia gerezani ila sio kwa kesi ya kipumbavu kama ya mungu wako zumaridi.

Hapa duniani fanyabujinga wote lakini sio wa binadamu kujiita Mungu.

Btw hope unajua ni kesi gani inamkabili si ndio? Basi kuwa mpole. Kama ni mungu ajitowe gerezani tuone nguvu yake.
 
Back
Top Bottom